ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali Kupitia Wizara ya ujenzi imetangaza tenda ya ujenzi wa Kipande cha reli Kati ya Uvinza-Musongati-Gitega ambayo inaunganisha Nchi za Tanzania na Burundi.
Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya kati kilichosalia ni Kaliua-Mpanda-Karema Port.
Hongera sana Awamu ya 6 kazi inapigwa kweli kweli.
=========
Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya kati kilichosalia ni Kaliua-Mpanda-Karema Port.
Hongera sana Awamu ya 6 kazi inapigwa kweli kweli.
=========