Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami? Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida, Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila...