Serikali imetenga Bilioni 730 za El nino, je isipotokea zitarudishwa hazina?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.

Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.

Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.

Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.

Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
 
Ipo wapi hizo fedha??? Kiendacho kwa Mganga huwa hakirudi
 
Zitapotea wahusika wataona aibu tu yaishe
 
TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.

Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.

Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.

Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.

Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
Itarudishwa kama kuna chenji itabakia,ninavyojua mimi tayari imeanza kutumika,nimesafiri juzi kwenda mkoa fulani nikakuta sehemu nyingi barabara za lami zinarekebishwa...
 
Tufanye itatokea Ili ikuepuka stlesi. Isipotokea zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo kama za kolona. Mbona haina shidaa?
 
TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.

Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.

Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.

Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.

Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
ungependa iweje gentleman kwa mfano?🐒
 
Zitapelekwa Zanzibar
 
Itarudishwa kama kuna chenji itabakia,ninavyojua mimi tayari imeanza kutumika,nimesafiri juzi kwenda mkoa fulani nikakuta sehemu nyingi barabara za lami zinarekebishwa...
Pesa ya el nono inakarabati barabara, fungu la barabara halikutengwa.
 
TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.

Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.

Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.

Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.

Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
Kinachokwenda kwa mganga hakirudi, hata kabla zinakwenda kwenye ICD Temeke.
 
TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.

Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.

Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.

Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.

Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
Inyeshe au isinyeshe hizo fedha zinaenda kwa mafisadi ili kujenga maMANSIONs Mbweni Maji Chumvi JKT.
 
Huko uliko tunaomba mrejesho wa el nino.
 
Back
Top Bottom