TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.
Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.
Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.
Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.
Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
Itarudishwa kama kuna chenji itabakia,ninavyojua mimi tayari imeanza kutumika,nimesafiri juzi kwenda mkoa fulani nikakuta sehemu nyingi barabara za lami zinarekebishwa...TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.
Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.
Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.
Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.
Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
ungependa iweje gentleman kwa mfano?🐒TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.
Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.
Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.
Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.
Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
Zitapelekwa ZanzibarTMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.
Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.
Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.
Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.
Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
SwadaktaZanzibar bado hatujamaliza ujenxi wa miundombinu!
Eti Elnino ni Tanganyika tu!Wanatumia elninho kuchezesha upepo uliopo mbona nchi majirani wapo kimya?
Hakuna kitu mvua ni mvua tuu
Pesa ya el nono inakarabati barabara, fungu la barabara halikutengwa.Itarudishwa kama kuna chenji itabakia,ninavyojua mimi tayari imeanza kutumika,nimesafiri juzi kwenda mkoa fulani nikakuta sehemu nyingi barabara za lami zinarekebishwa...
Kinachokwenda kwa mganga hakirudi, hata kabla zinakwenda kwenye ICD Temeke.TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.
Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.
Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.
Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa ikasema, pesa isipotosha zitaongezwa.
Swali la msingi, je el nino isipotokea au ije kwa kiwango kidogo, pesa iliyotolewa itarudishwa?
Inyeshe au isinyeshe hizo fedha zinaenda kwa mafisadi ili kujenga maMANSIONs Mbweni Maji Chumvi JKT.TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.