The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu
Akizungumza katika Kongamano la Dhahabu la miaka Minne ya Dkt Samia suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha nchi nzima inajenga kampasi hizo ili kurahisisha upatikanaji wa elimu ya juu nchini
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
Kwa upande wake, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi amesema rais amewekeza nguvu kubwa kwenye miundombinu ya michezo kutoa fursa kwa vijana.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Musa Kilakala akaeleza namna ya Rais alivyotatua changamoto ya maji kwa kuwekeza fedha zaidi ya Bilioni Mia Tatu kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la Kidunda
Kwa upande wake mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM taifa Mohamed Kawaida amewataka watanzania wote kuilinda amani na uvulivu iliyopo nchini kwa maendeleo ya taifa.