Wakati wa bunge la bajet kuna mbunge alismama na kuhoj kwann kuna tofauti ya ada katika vyuo vkuu tz kwa Course za aina moja mfano utakuta B.A in Ed kwa Udsm labda n Lak6 lakn kwa Course hyohiyo kwa SAUT labda n Lak4 na Wazr akasmama na ksema kua kuanzia mwaka huu wa masomo wizara itatoa ada elekezi kwa vyuo vyote na chuo kitakachokiuka mashart kitachukuliwa hatua kali na kuna tetes ziliibuka kua Serikali imeshatoa hizo ada elekez sa kama ni kwel mbona tunashuhudia vyuo vimepandisha ada kwa kiasi kikubwa mno mfano n Udom.
Sa naomba kujuzwa mwenye taarifa ya uwepo wa hizo ada elekezi ni kweli au ilikua ni siasa tu?
Sa naomba kujuzwa mwenye taarifa ya uwepo wa hizo ada elekezi ni kweli au ilikua ni siasa tu?