Katika hotuba ya kufunga mwaka Mh.Jk amesema kabisa kwa sada Serikal haiitaji walimu wa arts wametosha mwaka jana wanaitajika walimu wa sanayansi tuuu kwaiyo kwa wale waluosoma UALIMU na wanaosoma Mpka sasa ualimu wa masomo ya Arts wajue kabisaa Ajira hakuna tena nadhan sasa hari utazidi kua ngumu sana mtu atajuta kwann hakusoma hata shortcourse akawa kwenye system kwanza ndio akajiendeleza,pia wale ambao waliacha kusoma course walizopenda tangu utotoni kwakujua kua ukisoma Education ajira ni direct imekura kwao na ualimu wenyewe kauna direct employment sasa bora hata ungesoma ile ile LAW uliyopenda tu na Nadhani sasa vyuo vya ualimu visivyotoa masomo ya sanyansi hasa vya privet vitakufa maana vitakosa wateja hasa vya diproma.
Kazi kweli kweli
Kazi kweli kweli