Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

Dunia ya leo nani atakuruhusu uwe dikteta?
 
Kuna mtu akajifanya anaamini sana sayansi akamuweka Mungu wa mwisho katika shughuri zake, naona kaambulia kuchelewa kwa mvua...huyooo anaishia kupandisha bei bidhaa ili akomoe masikini. Hatari hiii!
 
Mtanzania ni mnafiki sana mtazania ni mpuuzi ngoja niendelee nasema hivi mbona badoo akili itatukaa tu
 
Kama mjinga hastahili demokrasia Inakuwaje mjinga awatawale wajinga wenzie kidikteta!!? Maana yako ulitaka kusema waafrika ni wajinga wasiostahili demokrasia,,,Sasa kwnn tuliwafukuza wazungu ili tufanye mambo yetu kidemkrasia??? Mchina akisema Udikteta ni itikadi sahihi wapumbavu wapenda madaraka mnashangilia ila mzungu akisema demokrasia ni itikadi sahihi,wapumbavu wapenda madaraka mnachukia,,,hatutaki udikteta! Bora warudi wazungu kututawala ila si wapumbavu wenzetu watuendeshe kidikteta hiyo hatuko tyr kuiona bora tupasuke vipande,,,kuhusu mimba acheni watoto wasome kwanini tuwe na akina mama wajinga wakati uwezo wa kuwasomesha tunao??
 
Wewe utakuwa ni Msukuma, yaani unataka uishi kama mtumwa, aisee kuna msemo unasema wakati wa utumwa kuna watumwa walikataa kuachiwa huru. Nadhani hata wew ungekataa.

Uhuru ni nini na utumwa ni nini?
Kupanga nchi yako, maendeleo ya wengi ni utumwa? Kukubali kila kitu anachokwambia Tony Blair ni uhuru?

Wasukuma hawana tatizo ni watu wazuri, real, waaminifu, waadilifu, waungwana, wachapa kazi sana.

Ni nature yao. Wanajichanganya wanaoa popote TZ. Sio wadini wakabila,wakanda wanamlinda Rais wa sasa kwa dhati.

Jaribuni kuwa, kuja na sera zisizo na ubaguzi mkiweza.

Haya mawazo yenu kusema maoni yote tofauti ni ya wasukuma, Chadema mnakosea, imepitwa na wakati.

Ni mawazo ya Watanzania wengi.
 
Dunia ya leo nani atakuruhusu uwe dikteta?

Udikteta ni nini?

Kupangiwa viongoni wako, sera zako, masoko, maisha, huo ni uhuru, haki za kibinadamu, democracy?

Usikariri, Dictacting ni either kupangiwa au kupanga mwenyewe. Inategemea na anayepanga ana nia gani. Afrika, viongozi wengi wanapangiwa.
 
Mkuu huyo mtoto uliyemtelekeza mpelekee mahitaki kama sheria inavyosema acha kelele nyingi.
 
Madikiteta nafasi yenu Duniani ni finyu sana. Inazidi kuwa finyu zaidi.
 
Wewe utakuwa ni Msukuma, yaani unataka uishi kama mtumwa, aisee kuna msemo unasema wakati wa utumwa kuna watumwa walikataa kuachiwa huru. Nadhani hata wew ungekataa.
Ni kweli jamii ya watu hawa huamini katika ukatili na maonevu. Ubabe wa kijinga.
 
Korea kaskazini bado wako Utumwa zaidi ya ule wa mkoloni.
 
Ulichokiandika mkuu ni sahihi Kwa asilimia Mia moja,lakini kuna Mambo nadhani tuyajue na kuyambua pia .rais ni Tasisi na anaongoza watu zaidi ya milioni 60.kumbuka Sisi ni wanachama katika jumuia mbalimbali mfano,SADCA,AU nakadharika katika jumuia hizi kuna madhimio ya vikao pia .Chamsingi ni kusali sana
 
Ni kweli jamii ya watu hawa huamini katika ukatili na maonevu. Ubabe wa kijinga.

Jamii zote duniani zimeanza na kuanzinshwa na mipango thabiti.

Kufanya hivyo inabidi uwe na mipango na utekelezaji thabiti.
 
Hata kwetu Elimu ni bure.

Tunamtukana mtu aliyeleta elimu bure kwa watoto wote millioni kumi hadi anakufa.

Ameweka misingi ya ukweli. Kwa miaka 50 ijayo. Kuanzia kwenye madini, nidhamu, kusimamia watu, rasilimali za nchi.
 
Korea kaskazini bado wako Utumwa zaidi ya ule wa mkoloni.

TZ ni nchi kubwa, muhimu sana, inazungukwa na nchi nane, zote zinaitegemea kwa ulinzi, bandari, utulivu, usalama wao, maisha yao.

Tunategemewa, ni lazima tuongoze.
 

Usiropoke, kaa chini tulia, jiulize Democracy (Haki ya wengi) ni nini?

Umeme, maji, chakula, makazi, afya, elimu,ajira, biashara, usalama, rasilimali za nchi zitumike vipi ni Democracy.

Unafikiri ni haki tu ya kupiga kelele, kupinga kila kitu, kutukana?
 
Autocratic leadership has positive impact or negative this will depend on how brave the leader is
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…