Serikali imewaibia Wamachinga?

Ukiona hivyo pesa za vitambulisho zilikuwa haziendi Hazina, maybe ziliingia mfukoni mwa mtu
 
Niko kwa Mtogole mkuu....huko Denmark uliko wewe sijawahi hata kufika!

Acha maskhara mkuu yaani mitaa ya Posta ikose "ndoo za taka dustbins"?!!!!🤣
Ukirudi likizo Bongo kutoka huko Denmark njoo posta mpya ufanye survey. Wasalimie Denmark huko.
 
Wanaokula ni machinga,wabeba zege,makonda n.k.
Wapishi Sasa ndo hao wameamua kujiajiri sababu hakuna kazi.
Tuseme tu ukweli kazi ya mama ntilie miaka ya nyuma ilikuwa inadharaurika ila Sasa hivi mpaka wasanii na watu maarufu wanafanya
Miaka ya nyuma kipindi kipi mkuu?!!

Dar es salaam kila siku inaongezeka waingiaji.....usisahau miaka inakwenda sana.....waliokuja mwaka 2000 na kuzaa watoto leo hii wana miaka 20....wengine ndio hao wasambazaji vyakula magereji ,madambweni n.k

Kila baada ya miaka 5 jiji linabadilika kwa mengi mno.....

Siempre JMT
 
Kwa hyo wewe unaona machinga na mama ntilie NI kazi za maana?
 
Ndio maisha ya wananchi wako hayo.wangekuwa na hela wangeenda kula Hyatt regency hotel.
angalia vipato vya wananchi wako unadhani wanapenda kuwa mama ntilie au machinga?
lini serikali imetangaza machinga wote wenye elimu waende kuajiriwa?.
78% ya wamachinga ni wakwepa kodi. mi niko kkoo najua watu zaid ya 10 walioamua kufunga maduka na kufungua mabanda. mtu mmoja ana mabanda zaid ya matano na anawasaplaia mizigo yeye kila cku. na maduk wamefunga.
 
Kile kitambulisho mbona kilikuwa ni kwa mwaka. Maana yake kila mwaka walitakiwa kupewa kipya.

Nani kapewa tena baada ya muda kuisha ?
 
Kwani wamezuiwa kufanya biashara nchini?, kama unaona hiyo 20, ni nyingi hata huko ulikopelekwa ni marufuku kutia mguu, kwani hiyo miundo mbinu inayowekwa huko ni pesa.na hata hiyo pesa ni wangapi walikuwa wanalipa?kariakoo tu ina wamachinga zaidi ya 12, 000 lakini kwa dar nzima waliokuwa wanalipa ni 6000!!!tukihakikisha kuwa umerudi kijijini kulima na huta rudi tena mjini hiyo pesa yako utarudishiwa.
 
78% ya wamachinga ni wakwepa kodi. mi niko kkoo najua watu zaid ya 10 walioamua kufunga maduka na kufungua mabanda. mtu mmoja ana mabanda zaid ya matano na anawasaplaia mizigo yeye kila cku. na maduk wamefunga.
Wamachinga unawajua.?
 
Machinga mwenye Kitambulisho kinachoonyesha jina lake na sehemu ya kufanyia biashara akadai chake
 
Nani aliwalipisha? Kamdaini Jiwe..Awamu ya sita hakuna kuhalalisha upuuzi.
 
Tukisala wananchi tukaitaka Tanganyika yetu automatically CCM inafitika duniani

Hiki ndiyo chama cha ukoma kimetufanya kuwa wakoma ck zote


Aaaah
 
Sasa huyo mwenye duka akalifunga na kutoa vitu nje utamuita mmachinga?
Hilo neno mmachinga linatumika vibaya siku hizi
ndio maana nakuambia asilimia 78 ya hao wanaoitwa machinga sio machinga kama watu wanavyowaona. kwa taarifa yako zile meza unazoziona wamepanga vitu kila meza moja wananunua milion nne. na kwa wale wanaokodisha hzo meza wanalipa elfu 30 kwa cku. so ukiwa hujui unaweza kuongea lolote. lakn wale ni wakwepa kodi tu wa kawaida.
 
Aliyebuni kitambulisho cha machinga ni fala na mpigaji, machinga mjini ni uchafu unaoondekezwa. Tulishaambiwa dar linabaki kuwa jiji la kibiashara dodoma mazao makubwa. Sasa machinga tangu lini akawa mfanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…