Serikali imewaibia Wamachinga?

Serikali imewaibia Wamachinga?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Unamlipisha 20,000 ya kitambulisho cha Mmachinga kuonyesha kuwa yuko eneo hilo kihalali then Leo mnakuja kuwabomolea?

Si muwarudishie basi Hizo 20,000 zao kabla ya kuwanyanyasa? Mliwakubalia tena kwa mbwembwe then sasa hivi watu wamejiwekeza mnaanza figisu!

Warudishieni fedha zao acheni wizi
 
Serikali huwa haiibi mkuu.

Serikali hiyohiyo ndiyo inayotoa vyeti vya kuzaliwa ,kitambulisho cha NIDA bila ya kutoa fedha nyingi.

Hivi unajua kuwa ARDHI NI MALI YA SERIKALI?

Hata hapa nilipo ninaweza kuhamishwa siku wakigundua kuna Jambo kubwa la kufanyia jamii.

Kwa hiyo hiyo mitaa inayofanyiwa biashara iko juu ya hiyohiyo ARDHI.

Lengo la serikali sikivu ni zuri tu....na maeneo wametengewa ila ni hulka zetu tu kuwa MAZOEA YANA TABU ZAKE.

#Siempre Serikali Sikivu Ya Awamu Ya 6
 
Serikali huwa haiibi mkuu....

Serikali hiyohiyo ndiyo inayotoa vyeti vya kuzaliwa ,kitambulisho cha NIDA bila ya kutoa fedha nyingi.....

Hivi unajua kuwa ARDHI NI MALI YA SERIKALI?!!

Hata hapa nilipo ninaweza kuhamishwa siku wakigundua kuna Jambo kubwa la kufanyia jamii.....

Kwa hiyo hiyo mitaa inayofanyiwa biashara iko juu ya hiyohiyo ARDHI.....

Lengo la serikali sikivu ni zuri tu....na maeneo wametengewa ila ni hulka zetu tu kuwa MAZOEA YANA TABU ZAKE.....

#Siempre Serikali Sikivu Ya Awamu Ya 6
Una usingizi wewe, kwanini unatetea hata ujinga? Kwanini kila kitu unakiweka siasa?? No, hii sio sahihi
 
Serikali huwa haiibi mkuu....

Serikali hiyohiyo ndiyo inayotoa vyeti vya kuzaliwa ,kitambulisho cha NIDA bila ya kutoa fedha nyingi.....

Hivi unajua kuwa ARDHI NI MALI YA SERIKALI?!!

Hata hapa nilipo ninaweza kuhamishwa siku wakigundua kuna Jambo kubwa la kufanyia jamii.....

Kwa hiyo hiyo mitaa inayofanyiwa biashara iko juu ya hiyohiyo ARDHI.....

Lengo la serikali sikivu ni zuri tu....na maeneo wametengewa ila ni hulka zetu tu kuwa MAZOEA YANA TABU ZAKE.....

#Siempre Serikali Sikivu Ya Awamu Ya 6

Kwahiyo ardhi walikabidhiwa na Mungu!.
 
Wasafishe miji bana unauza ubwabwa nje ya ikulu nje hospital unakuta msongamano wa wapuga ubwabwa hata gate hulioni...mipango miji lazima iheshimiwe jamani daaa
Ndio maisha ya wananchi wako hayo.wangekuwa na hela wangeenda kula Hyatt regency hotel.
angalia vipato vya wananchi wako unadhani wanapenda kuwa mama ntilie au machinga?
lini serikali imetangaza machinga wote wenye elimu waende kuajiriwa?.
 
Unamlipisha 20,000 ya kitambulisho cha Mmachinga kuonyesha kuwa yuko eneo hilo kihalali then Leo mnakuja kuwabomolea?

Si muwarudishie basi Hizo 20,000 zao kabla ya kuwanyanyasa? Mliwakubalia tena kwa mbwembwe then sasa hivi watu wamejiwekeza mnaanza figisu!

Warudishieni fedha zao acheni wizi
Mara ya mwisho wamelioia luni hivyo vitambulisho?
 
Unamlipisha 20,000 ya kitambulisho cha Mmachinga kuonyesha kuwa yuko eneo hilo kihalali then Leo mnakuja kuwabomolea?

Si muwarudishie basi Hizo 20,000 zao kabla ya kuwanyanyasa? Mliwakubalia tena kwa mbwembwe then sasa hivi watu wamejiwekeza mnaanza figisu!

Warudishieni fedha zao acheni wizi
.. ni CCM Mkuu sio serikali. Ni hadaa za CCM kama kawaida yao. Kumbuka ilani inayotekekezwa ni Ilani ya CCM; serikali ni mtekelezaji tu.
 
Serikali huwa haiibi mkuu....

Serikali hiyohiyo ndiyo inayotoa vyeti vya kuzaliwa ,kitambulisho cha NIDA bila ya kutoa fedha nyingi.....

Hivi unajua kuwa ARDHI NI MALI YA SERIKALI?!!

Hata hapa nilipo ninaweza kuhamishwa siku wakigundua kuna Jambo kubwa la kufanyia jamii.....

Kwa hiyo hiyo mitaa inayofanyiwa biashara iko juu ya hiyohiyo ARDHI.....

Lengo la serikali sikivu ni zuri tu....na maeneo wametengewa ila ni hulka zetu tu kuwa MAZOEA YANA TABU ZAKE.....

#Siempre Serikali Sikivu Ya Awamu Ya 6
Fact! Serikali inatekeleza ilani ya CCM.
 
Back
Top Bottom