Serikali imewaibia Wamachinga?

Serikali imewaibia Wamachinga?

ndio maana nakuambia asilimia 78 ya hao wanaoitwa machinga sio machinga kama watu wanavyowaona. kwa taarifa yako zile meza unazoziona wamepanga vitu kila meza moja wananunua milion nne. na kwa wale wanaokodisha hzo meza wanalipa elfu 3 kwa cku. so ukiwa hujui unaweza kuongea lolote. lakn wale ni wakwepa kodi tu wa kawaida.
Kwa hyo unataka kusema kariakoo hakuna machinga
 
Kwa hyo unataka kusema kariakoo hakuna machinga
machinga wapo ila wa ukweli ni wachache wengi hawakosi milion mpaka 8. hawa watu wanatakiwa wajifunze kufanya biashara rasmi walazimishwe kulipa kodi. huwez kujiita machinga halafu una cm mpaka ya milion 2. hauko serious chief. wakat huo ukikosa huduma hospital unaanza lawama kwa serikali.
 
Back
Top Bottom