mh rais utakumbuka nilikupgia simu ukiwa nje ya nchi kuhusu kuvunja mkataba wa richmond ukanambia niache umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara,kila hatua niliyochukua kuhusu richmond nilikujulisha,leo hii watu wanakwenda mikoani na kusema majukwaani kuwa mimi ni fisadi,kosa langu ni nini?tena mwaka 1997 ililetwa ripoti ikiwa na mtazamo hasi isingekuwa hekima za mzee mkapa leo usingekuwa hapo ulipo mh rais,WANAJF KOSA LA LOWASA LIKO WAPI KWENYE RICHMOND?Kumbukeni jk na el hawajakutana barabarani,kuna mchezo hapa kati ya jk na lowasa
