Serikali imrudishe Mhandisi Kakoko kama suluhisho la matatizo ya Bandari

Serikali imrudishe Mhandisi Kakoko kama suluhisho la matatizo ya Bandari

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.

Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa kweli mtaona matokeo chanya.
 
Au Tuikabidhi Taasisi ya Milembe Hospital iendeshe hiyo Bandari tupate Happy ending ya Sakata la Bandari.
 
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.

Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa kweli mtaona matokeo chanya.
Acha ujinga
 
Kweli kabisa walimtoa kwa mbwembwe lakini hawakumkuta hata na tone la rushwa. Eng Kakoko arudi
 
Anajipigia bede, jamaa alikuwa anavimbia hadi Body ya Bandari na wakileta maoni tofauti kikaoni anamvutia Jiwe waya hapo hapo. Apumzike na wengine waongoze.
 
Kwanza huyo sio mtanzania, pili hafai hata kidogo maana na yeye ikuwa fisadi Nadhani ulisikia alvyokutwa na madola nyumbani kwake.
 
Kwanza huyo sio mtanzania , pili hafai hata kidogo maana na yeye ikuwa fisadi Nadhani ulisikia alvyokutwa na madola nyumbani kwake.
Sizumgumzii arudi au asirudi. Nadhani hufahamu Eng Kakoko, kwa swala la Utanzania, hakuna shaka na hilo yeye ni Mtanzania. Swala la kukutwa na rundo la dola nyumbani si kweli. Dola alizokutwa nazo ni kidogo sana kwa wadhifa alivyokuwa nao. Hata wewe una uwezo wa kuwa nazo. Na Ndiyo maana hakushtakiwa kwa lolote lile.
 
Mama Samia weka Jeshi pale uone maana matobo mengi sana bandarini
 
Kakoko alikuwa mwizi kama hao wengine isipokuwa yeye wizi wake alikuwa akishirikiana na lile jambazi sugu ambalo naye kwa nafasi yake alimuhakikishia ulinzi.
 
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.

Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa kweli mtaona matokeo chanya.
Amekutuma siyo! Habari yake kwishnee.
 
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.

Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa kweli mtaona matokeo chanya.
Ona akili zenu zilivyo
Ina maana mtu hyo tu
Ndiyo anaweza hyo kazi

Ova
 
Tanzania’s Ports Boss Dismissed Over Corruption Allegations

[https://www]Pixabay
PUBLISHED MAR 28, 2021 3:14 PM BY BRIAN GICHERU KINYUA

Tanzania Ports Authority (TPA) Director-General Deusdedit Kakoko has been suspended over alleged embezzlement of 3.6 billion shillings ($1.5 million)
The decision was made after the country’s new president, Samia Suluhu, received a report compiled by the controller and auditor general for the financial year 2019-2020. The report implicated the port's senior management in a pattern of fraudulent expenditures.
The president noted that she has seen massive embezzlement of funds at the Tanzania Ports Authority and directed the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) take up the matter urgently.
TPA has been in the spotlight previously over corruption concerns, leading to suspension of top finance managers in December 2020. The operation was led by the Prime Minister Kassim Majaliwa. They were accused of depriving Tanzanian government of revenues through an unapproved tax exemption amounting to two billion shillings ($860,00). In addition, financial misappropriation at Kigoma Port further exposed the rot in TPA, which had shown a steady increase in revenue - but 30 percent of it remained in people’s pockets.
“But from the report that you submitted yesterday, at least 3.6 billion shillings ($1.5 million) had been embezzled at TPA. When the Prime Minister conducted a probe, we only managed to fire junior staff. I now order the suspension of the TPA director-general to pave way for investigations into the embezzlement,” said President Suluhu.
Dar es Salaam Port in Tanzania is the Mombasa Port's chief competitor, seeking to replace it as East Africa’s gateway. Through the Dar es Salaam Maritime Gateway project (DSMGP), financed by a $345 million World Bank grant and expected to be complete by 2024, TPA has proposed a raft of measures aimed at improving efficiencies at the Port of Dar es Salaam.
Unfortunately, even with elaborate plans to modernize African ports - mostly through debts from multilateral financiers and China - the scourge of corruption continues to threaten the expected benefits from these major infrastructure developments.
 
Back
Top Bottom