Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Acheni uoga, msidhani kwamba huyu dogo ataondolewa kwa presha za mzungu mmoja anayeishi Washington ambaye anao vibaraka wake humu nchini.

Hakuna kitu kama hicho.
 

Ayo yote wapumbavu hawayafikirii waafrika sisi ni tatizo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sioni kwanini aondolewe...hata wakitususa tuna utajiri wa kutosha ndiyo maana wao wanajipendekeza kwetu hata kama tuna madeni kibao hatujalipa bado wanatukopesha...Mwache Makonda afaidi zama zake hizi mpaka mwisho
Daaaah.!!! Hebu tutajie huo utajiri ni wa kiasi gani? Mbona analaumiwa Zito kwa kuzuia msaada? Hata matajiri wanalilia msaada? Hivi kumbe bajeti tunajitegemea 100% na zile 46% za msaada zinaliwa na machadema duuuuu!!!

Aisee wewe ni genius kweli!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mboleko aliyobebewa imetoboka, ajiandae kuanguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! Basi akazane sijui kusali au kuroga maana ndani na nje kote kuchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua Elimu yako plz
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo ni patamu, ili polisi nao waingizwe kwenye kesi ya Makonda ICC pamoja na anae mtuma ata julikana..

Sent using Jamii Forums mobile app


hARAFU TUKU BALI WANAUME KWA WANAUME KUTIANA DUDU ...AHAHAH HAPA MAREKANI WATUWACHE BOLA TUFE MASIKINI. MUNGU YOKO NYUMA YETU..MAREKANI SIO MBINGUNI
 
Kenge huwa hasikii maonyo hadi masikio yachurizike damu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…