Moja ya Mawazo bora kabisaUwepo presidential Fund ambao utakuwa unawachukua best hundred students on each particular year. Ila huu mfuko udeal na wale wanafunzi miamoja wanaofanya vizuri kwenye shule za serikali maana hao kwangu ndyo miamba kwelikweli.
Then matokeo yanapotoka kila mwaka wanachukua Mia moja waliofanya vizuri wanatafutiwa vyuo nje ya kulingana na demand ya serikali kwenye sector flani then serikali inawalipia hada na accommodation plus posho za matumizi.
Baada ya miaka kumi nchi hii itakuwa na wataalamu wa kutosha kwenye sector mbalimbali.
Hilo ni wazo zuri...
Hakuna haja yoyote ya kuwaendeleza waliopata A, A, A, A, A,... Wanaopaswa kuendelezwa ni wenye vipaji vya ubunifu. A nyingi ni za kukariri hata kama ni za kweli kigezo cha kupata A siyo guarantee kwamba mtu ana akili ya kipekee.Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten etc.
Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wizara husika kuona umuhimu wa kuwapa motisha vijana hawa na wale wanaoendelea na masomo yao kwa kuwatafutia program nzuri either nje ya nchi au ndani na kuwafuatilia kwa karibu maendeleo yao huenda wakatufaa sana hasa kwa Tanzania hii mpya ya viwanda.
Ana oneNje ya mada:
Hivi yule mtoto Anna Dhambi aliyefiwa na wazazi wake pamoja na wadogo zake amepata division ngapi?
Wachina kuelekea 'made in china 2025' waliichokifanya ni kwamba waliweka mashindano ya kuprogramu robots nchi nzima ili kupata watoto wenye uwezo mkubwa ku future AI,hawakutumia mtihani wa wa la7,form4 au six.Atakaeweza kuyaprogramu marobot Huyo ndio atawezesha China 2025.AI teknolojia.Tunatakiwa kufanya skouting kuanzia chekechea sio kidato cha nne tunakuwa tumechelewa.Halafu tunapima mawanda mapana hats Yale nje ya mtaataala kama programming.Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten etc.
Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wizara husika kuona umuhimu wa kuwapa motisha vijana hawa na wale wanaoendelea na masomo yao kwa kuwatafutia program nzuri either nje ya nchi au ndani na kuwafuatilia kwa karibu maendeleo yao huenda wakatufaa sana hasa kwa Tanzania hii mpya ya viwanda.
kuna.Hakuna haja yoyote ya kuwaendeleza waliopata A, A, A, A, A,... Wanaopaswa kuendelezwa ni wenye vipaji vya ubunifu. A nyingi ni za kukariri hata kama ni za kweli kigezo cha kupata A siyo guarantee kwamba mtu ana akili ya kipekee.