2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kama hutaki nunua kwa bei hiyo mkuu. Au wewe ni muuzaji nini?Watutolee porojo zao hapo kg1 ishafika 4000 daisalama hii jee huko pembezoni si ndio balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi wa bodi ya sukari Prof. Kenneth Bengesi amesema serikali ina sukari ya kutosha, na serikali imeshagiza tani 40,000 imeshaingia nchini na imeanza kupakuliwa tangu Aprili 15 bandarini
Pia amewataka wafanya biashara kufuata bei elekezi, na wale watakaokiuka wakigundulika watafutiwa leseni za kuendesha biashara
Amesema serikali haiko tayari kuona watu wake wanapata shida kwa tatizo ambal limetengenezwa na wafanyabiashara. Zaidi ya tani 10000 zitaingia mtaani kuanzia Aprili 17
Nmecheka sana dahAnaitwa Eng. Stella Manyanya ni Naibu Waziri wa kilimo, biashara na uwekezaji, anasema kama HUMUDU bei ya sukari tumia ASALI kwanza sukari sio nzuri kwa AFYA.
Haa ukiamua kunywa chai kwa muwa au pipi fresh tu yaaani.
My life is mine to remember
Roger that