Serikali inaachia pesa lini kwenye miradi yake? hali ni tete mtaani

Serikali inaachia pesa lini kwenye miradi yake? hali ni tete mtaani

ferucho lamborgini

Senior Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
185
Reaction score
599
wakuu kwema?

Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani?

Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
 
ile dili ya ORCA Energy imetunziwa hela, ikitiki wanalipwa chapuchapu tunakwenda kwenye uchaguzi 2025.
Halafu kuna mtu atatuomba msamaha kwenye kitabu chake atakachoandika kabla ya kufa.
 
Back
Top Bottom