ferucho lamborgini Senior Member Joined Nov 25, 2023 Posts 185 Reaction score 599 Aug 12, 2024 #1 wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
barakuda JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 299 Reaction score 309 Aug 12, 2024 #2 Wewe ni mkandarasi?
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Aug 12, 2024 #3 Ukoo sahihi sio kawaida helaa imekuwa ngetwa kwenye mzunguko, au wanaficha hela za uchaguzi??
Right Way In Light JF-Expert Member Joined Jul 27, 2024 Posts 1,322 Reaction score 3,461 Aug 12, 2024 #4 Kufanya kaz na serikali yataka moyo mnoo
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Aug 12, 2024 #5 ile dili ya ORCA Energy imetunziwa hela, ikitiki wanalipwa chapuchapu tunakwenda kwenye uchaguzi 2025. Halafu kuna mtu atatuomba msamaha kwenye kitabu chake atakachoandika kabla ya kufa.
ile dili ya ORCA Energy imetunziwa hela, ikitiki wanalipwa chapuchapu tunakwenda kwenye uchaguzi 2025. Halafu kuna mtu atatuomba msamaha kwenye kitabu chake atakachoandika kabla ya kufa.