Serikali inaahidi nini endapo Taifa stars itashinda?

Serikali inaahidi nini endapo Taifa stars itashinda?

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Sote tutambue kwamba penye motisha mtu anapambana kikwelikweli je serikali inaweza ikanena lolote kwa vjana hata bodaboda mojamoja au mabati au cementi na hakika watapambana mpira kwa nguvu zote Mimi nahahidi mfuko mmoja wa
images.jpeg
cementi Kila mchezaji
 
Ngoja kwanza congo dr na madagascar wachezee kichapo tuone muelekeo wa kupenya kwenye makundi kuelekea Qatar ukoje ndio tutoe neno
 
Kwa hiyo picha mmeshaanza kuwapa laana..😂
 
Kukusanya kodi zaidi ili ipatikane hela ya kuwachangia stazi
 
Siyo kushinda, msingi wa ahadi uegemee kwenye 'kama itafuzu afcon na kombe la dunia'
 
Kwa kweli wikiend yangu mbaya niliagiza wine dodoma nifurahie wikend na Taifa stars daaaaa yaaani beki inakata mauno wote wanaelekea upande mmoja,huyu Samatha ndio mzembe kabisa goli la kwanza walitakiwa kurudi nyuma wameganda tu,Sasa naomba kwa heshima hii timu ipelekwe lugalo ikasaidie vikazi vidogodogo......
 
Back
Top Bottom