Kwa kweli wikiend yangu mbaya niliagiza wine dodoma nifurahie wikend na Taifa stars daaaaa yaaani beki inakata mauno wote wanaelekea upande mmoja,huyu Samatha ndio mzembe kabisa goli la kwanza walitakiwa kurudi nyuma wameganda tu,Sasa naomba kwa heshima hii timu ipelekwe lugalo ikasaidie vikazi vidogodogo......