Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mkoani Mtwara imepokea meli mbili zilizoshusha mtambo wa kupakulia mizigo mizito bandarini. Mitambo hiyo inauwezo wa kwenda chini ndani ya maji kwa zaidi ya mita 45, meli zilizoleta mitambo hiyo zimetoka Ireland na Dubai (UAE)
Mtambo huo utasaidia kuongeza kasi ya upakuaji wa mizigo pia itapelekea kufungua fursa mbalimbali za kibishara kwa nchi za Malawi, Zambia pamoja na kurahisisha utendaji wa kazi
Rais Samia Suluhu amefanikisha kuboresha bandari hii ya Mtwara ili kurahisisha shughuri za usafiri na usafirishaji pamoja na kufungua fursa mbali mbali za ajira Mungu aendelee kumuongoza Rais wetu kwa kipindi cha siku 549 akiwa madarakani ameleta maendeleo makubwa sana nchini.