Serikali inafahamu juu ya Huu Uhuni/Wizi unaoendelea hapa Shekilango/Urafiki??

Msijilinganishe na wachaga nyie makabila ya hovyo. Kama huwezi gharama atembee Kwa miguu. Au apande tireni aende Gamboshi. Kuoa mchaga gharama Wewe. Malabuku zako
 
Serikali yenyewe ina percent yake kwenye huo mgao.
 
huu upuuzi pia upo kwa Azam Marine sjajua miaka ya sasa kama umeondoka

wanatoa tiketi ndani wanazileta nje, ukienda ndani unaambiwa zimeisha

ukija nje zipo za kumwaga, unanunua kwa 32k, badala ya 25k
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kumbee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…