Serikali inafanya mazungumzo na Virgin Atlantic kuchukua nafasi ya British Airways

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Serikali imeanza kutafuta njia za kusafiri moja kwa moja kwenda London baada ya British Airways kusitisha huduma zake Tanzania. Mkurugenzi wa Utalii Bw. Ibrahim Mussa amesema serikali imeanza mazungumzo ya awali na Virgin Atlantic huku kukiwa na matumaini ya kufikia makubaliano na Virgin Atlantic kuchukua nafasi iliyoachwa na BA.

Amesema Septemba 2012, Virgin Atlantic ilisitisha safari zake za kwenda Nairobi baada ya miaka mitano. Amesema uamuzi wa BA kusitisha safari zake Tanzania siyo habari nzuri kwa sababu utaikosesha serikali mapato na pia ni usumbufu kwa wasafiri waliokuwa wanasafiri moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam kwenye Heathrow.

Bw. Mussa amesema japokuwa bado haijafanyika tathmini rasmi ya madhara katika sekta ya utalii kufuatia BA kusitisha huduma zake, watalii wengi walikuwa tayari wanatumia ndege nyingine kama Emirates, Qatar and Ethiopian Airline.

Habari kutoka sekta ya usafiri wa anga zinadai kuwa BA ilikuwa moja ya ndege ambayo ilikukuwa ikisafirisha sensitive cargo kama silaha nyepesi, noti za kitaifa na kimataifa na madini kama dhahabu almasi na tanzanite kwenda soko la dunia.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Swissport Tanzania Ltd Bw. Gaudence Temu amesema kampuni yake itaathirika na uamuzi wa BA kusitisha safari zake kwa sababu imekuwa ikitoa cargo handling services tokea mwa 1985 ilipoanzsihwa.
 
Hata ije hiyo bado itakata pia, abiria international wa Tanzania wanasafiria Nairobi Hub, wanapelekwa na boda boda za Kenya toka Bongo hasa Precition Air
 
Serikali imeanza kutafuta njia za kusafiri moja kwa moja kwenda London baada ya British Airways kusitisha huduma zake Tanzania. Mkurugenzi wa Utalii Bw. Ibrahim Mussa amesema serikali imeanza mazungumzo ya awali na Virgin Atlantic huku kukiwa na matumaini ya kufikia makubaliano na Virgin Atlantic kuchukua nafasi iliyoachwa na BA.

Amesema Septemba 2012, Virgin Atlantic ilisitisha safari zake za kwenda Nairobi baada ya miaka mitano. Amesema uamuzi wa BA kusitisha safari zake Tanzania siyo habari nzuri kwa sababu utaikosesha serikali mapato na pia ni usumbufu kwa wasafiri waliokuwa wanasafiri moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam kwenye Heathrow.

Bw. Mussa amesema japokuwa bado haijafanyika tathmini rasmi ya madhara katika sekta ya utalii kufuatia BA kusitisha huduma zake, watalii wengi walikuwa tayari wanatumia ndege nyingine kama Emirates, Qatar and Ethiopian Airline.

Habari kutoka sekta ya usafiri wa anga zinadai kuwa BA ilikuwa moja ya ndege ambayo ilikukuwa ikisafirisha sensitive cargo kama silaha nyepesi, noti za kitaifa na kimataifa na madini kama dhahabu almasi na tanzanite kwenda soko la dunia.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Swissport Tanzania Ltd Bw. Gaudence Temu amesema kampuni yake itaathirika na uamuzi wa BA kusitisha safari zake kwa sababu imekuwa ikitoa cargo handling services tokea mwa 1985 ilipoanzsihwa.
British Airways itabidi walaumu serikali ya kwa kukosa abiria hasa Watanzania kutokana na ukiritimba wao wa kutoa viza
 
Walitakiwa waimarishe ATC British airways ni ya waingereza ingekuwa nchi nyingine ingechangamkia haraka fursa hii
 
Mbona hii siyo habari mpya na imekuwa muda mrefu chini ya meza kitu kilichowafanya British Airways kuchanja mbuga kwa jinsi walivyo waoga kwenye competition na Virgin Group, ukichukulia virgin inaonekana kama iko zaidi na hiyo competitive advantage. Tenda za ubebaji wa mizigo inaonekana British Airways wangezikosa.

Habari hizi zilianza muda mrefu last year kupatikana kwa wale wapenzi sana wa usafiri wa ndege na kuandikwa kama habari hii chini inavyosema;

Virgin now eyes Dar es Salaam only weeks after dropping Nairobi

Posted November 3, 2012 by Aviation, tourism, travel and conservation news - DAILY from Eastern Africa and the Indian Ocean islands

VIRGIN HEADING TO DAR ES SALAAM
showLogo

Breaking News
6 weeks after leaving Nairobi, for a number of reasons given in public none of which at the time made much sense, are news just breaking that Virgin will be flying to Dar es Salaam from early 2013, very likely in combination with a stop at Kilimanjaro. It is also understood that this time the airline got the right slots, making for perfect connections from and to the United States via London Heathrow, something which was a major problem for the flights to Nairobi which did not connect easily into the Virgin US network.
A source contacted in the UK feigned surprise at the question, eventually conceding that ‘there might be plans' before insisting on absolutely protecting the identity, as obviously this early breaking news story will be giving the game away for competitors also flying to Tanzania.
A source at Swissport in Dar es Salaam, likely to be chosen as Virgin's handling agent, also showed surprise about the news already getting out and would not comment, this again telling more than enough and being sufficient to publish the breaking news.
Virgin is an arch rival of British Airways, which is also flying to Dar es Salaam, and will very likely offer fares below the level of BA, triggering a bonzana for tourists from the US but also starting a head on collision with British Airways which will undoubtedly have to respond in kind.
The new route will be a major coup for Tanzania's tourism industry, with all the associated promotional activities, as it is recalled with what creative marketing Virgin started its flights to Nairobi a few years ago, and will benefit the safari sector as well as some of the very exclusive beach resorts on Zanzibar and other islands. At the same time it will be depressing news for the Kenyan tourism industry, where stakeholders will be scratching their heads trying to figure out what went wrong for Virgin in Nairobi and what the true reasons for pulling out from Kenya were, only to find out within weeks that Virgin will be flying to neighbouring Tanzania from early 2013.
Watch this space for more information on this exciting development and for breaking aviation news from the Eastern African region, told first time and again.

Kwa hisani ya Airliners.net.
 
Serikali imeanza kutafuta njia za kusafiri moja kwa moja kwenda London baada ya British Airways kusitisha huduma zake Tanzania. Mkurugenzi wa Utalii Bw. Ibrahim Mussa amesema serikali imeanza mazungumzo ya awali na Virgin Atlantic huku kukiwa na matumaini ya kufikia makubaliano na Virgin Atlantic kuchukua nafasi iliyoachwa na BA.

Amesema Septemba 2012, Virgin Atlantic ilisitisha safari zake za kwenda Nairobi baada ya miaka mitano. Amesema uamuzi wa BA kusitisha safari zake Tanzania siyo habari nzuri kwa sababu utaikosesha serikali mapato na pia ni usumbufu kwa wasafiri waliokuwa wanasafiri moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam kwenye Heathrow.

Bw. Mussa amesema japokuwa bado haijafanyika tathmini rasmi ya madhara katika sekta ya utalii kufuatia BA kusitisha huduma zake, watalii wengi walikuwa tayari wanatumia ndege nyingine kama Emirates, Qatar and Ethiopian Airline.

Habari kutoka sekta ya usafiri wa anga zinadai kuwa BA ilikuwa moja ya ndege ambayo ilikukuwa ikisafirisha sensitive cargo kama silaha nyepesi, noti za kitaifa na kimataifa na madini kama dhahabu almasi na tanzanite kwenda soko la dunia.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Swissport Tanzania Ltd Bw. Gaudence Temu amesema kampuni yake itaathirika na uamuzi wa BA kusitisha safari zake kwa sababu imekuwa ikitoa cargo handling services tokea mwa 1985 ilipoanzsihwa.

Walitakiwa waimarishe ATC British airways ni ya waingereza ingekuwa nchi nyingine ingechangamkia haraka fursa hii

Hivi hoja kuu ya British Airways kama kigezo cha kuondoka ni nini? Ni hoja ya kibiashara? au kisiasa... Au Wamenusa tishio la Mujahidin hapa Dar? Why leave now?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hivi hoja kuu ya British Airways kama kigezo cha kuondoka pana ni nini? Ni hoja ya kibiashara? au kisiasa... Au Wamenusa tishio la Mujahidin hapa Dar? Why leave now?

Niliandika haya kwenye thread nyingine.

Ukiangalia hili suala kwa undani wa kulaumiwa wala siyo BA bali ni serikali ya Uingereza. Pia ukiangalia kwa makini zaidi utaelewa ni kwa nini BA ni expensive zaidi kuliko ndege nyingine. Utaelewa ni kwa nini Swiss Air ni cheaper zaidi hasa kama unakata one way ticket. Possibly, pia utaelewa ni kwa nini BA imeamua kukata safari zake za Dar Es salaam.

Uingereza wana kitu wanaita sky-high Air Passenger Duty tax (ADP). Hii ni kodi inayotozwa kwa ndege zinazosafiri kutoka Uingereza. Madhumuni ya ADP ni kupunguza madhara kwa mazingira, emissions and watu kutosafiri masafa marefu mara kwa mara. Kwa hiyo, the less distance you travel, the less ADP you pay. Kwa kawaida wanaolipa ADP ni wale wanaosafiri kutoka Uingereza lakini siyo wale wanaosafiri kuingia Uingereza au wako on transit kwenda nchini nyingine provided that hawatakaa Uingereza zaidi ya masaa 24.

Mwishoni mwa mwaka jana, BA ilitangaza kupunguza flights zake kwenda visiwa vya Caribbean kwa sababu ya ADP kuwa kubwa mno. BA iliiomba serikali ya Uingereza iondoe this destructive tax juggernaut ambayo ni burden kubwa kwa global aviation.

Matokeo yake BA iliamua kupunguza safari zake za Caribbean na kuongeza safari zaidi za kwenda Florida, a holiday destination ambayo ina 20 per cent lower tax rate kuliko ya visiwa vya Caribbean. Kwa mfano, familia ya watu wanne ikisafiri kwenye economy class kutoka Uingereza kwenda Florida inalipa £240 in ADP wakati familia hiyo hiyo ikisafiri kwenda visiwa vya Caribbean inalipa £300 in ADP.

BA ilisema kuwa hizi rates ni zaidi ya mara mbili ya rates ambazo familia kutoka Ujerumani wangelipa kwenda hizo destinations, wakati familia ikisafiri kutoka Ufaransa wangechajiwa £15 tuu. Halafu hakuna aviation tax kwenye nchi zote 22 za Muungano wa Ulaya.

Sasa hapo mtu lazima atauliza kwani Uigereza ina-charge ADP kubwa zaidi kwenye visiwa vya Caribbean? Sababu ni kwamba, for tax purposes, Uingereza imeweka nchi katika bands kulingana na umbali wa miji mikuu ya nchi hizo kutokea London. Kuna bands A hadi D. Band D ni zaidi ya umbali wa miles 6,000 kutoka London na standard rate ya ADP kwa passenger mmoja kuanzia April 2012 ni £184 kama sijakosea.

Kwa hiyo, pamoja na kuwa miji ya Florida na Hawii iko mbali na Uingereza, Washington DC ipo karibu na miji mingi ya visiwa vya Caribbean, kwa hiyo wasafiri wanakuwa charged less tax. A bit discriminatory, of course.

Nakumbuka boss wa BA alisema kuwa japokuwa Caribbean ni destination muhimu sana kwa BA na kuwa wamekuwa wakipeleka ndege zao huko kwa muda mrefu, hawezi kuukataa ukweli kuwa demand siyo kubwa kama ilivyokuwa zamani. Aliongeza kuwa kodi (ADP) ni mojawapo ya factor iliyotumika kupunguza flights zao kwenda Caribbean kuanzia summer ya mwaka huu (2013).

Kuna kipindi niliskia kuwa WTTC (world travel and tourism council) iliwasiliana na serikali ya Uingereza mwaka jana ikishauri APD iondolewe kabisa kwa sababu inaharibu biashara ya utalii na inaharibu uchumi wa nchi zinazotegemea utalii kama source of income. Mwaka 2009, waziri wa utalii wa Kenya alikosoa APD kwa kuumiza utalii na uchumi wa nchi zinazoendelea na walikuwa wana-lobby WTTC ili kodi hiyo ifutwe: Balala decries travellers' tax - Business_News - nation.co.ke.

Mwaka jana serikali ya Uingereza ilikuwa ina-review its APD levels kwa passenger wanaosafiri kutokea Uingereza baada ya baadhi ya wabunge wa Uingereza kusaini petition kutokana na malalamiko ya wanapiga kura wao.

Uki connect dots hapo, unaweza kupata picha kwa nini BA wameamua kusitisha flights zao za Dar. Demand ni ndogo kutokana na ticketi zao kuwa more expesive kwa sababu ya ADP kuwa kubwa mno. Kibiashara it is not worth it.
 
British Airways itabidi walaumu serikali ya kwa kukosa abiria hasa Watanzania kutokana na ukiritimba wao wa kutoa viza
Pamoja na sababu nzuri na zenye mantiki za kibiashara alizoainisha ndugu EMT hapo juu, ugumu wa kupata Viza ya Uingereza ni sababu mojawapo inayokera hasa unapotaka kusafiri kwenda huko, ama kupitia huko. Na upumbavu wa Viza ya Uingereza ni kuwa ukiwa nayo huwezi kuitumia kwenye nchi yoyote nje ya kwao (UK) kama ilivyo ya Schengen. Kuipata kwenyewe ni ngumu utadhani unatafuta kwenda mbinguni, why waste time on it kwa msafiri mwenye haraka zake? Hata transit visa za kupitia UK, process ni ngumu vilevile, nadhani ndio sababu abiria wanaopitia UK kwa BA ni haba sana.
 
Last edited by a moderator:

Kama wangekupa visa leo ungechagua ndege ipi kati ya hizi?

British Airways - direct from Dar to Heathow - return tickect - £718

KLM - Dar to Heathrow via Amsterdam - return ticket - £531

Emirates - Dar to Heathrow via Dubai - return ticket - £476

Suala la kuwa strict kwenye visa sidhani kama limechangia.

Otherwise, utakuwa unasema kuwa Wakenya na Waganda wanapata visa kwa urahisi zaidi kuliko Watanzania.

Pia wapo wanaopewa visa lakini hawatumii BA.
 
hey here we go tunamkaribisha mr richard branson bongo, dah mr virgin namkubali sana huyu baba, nakumbuka nilipokuwa chuo mwaka jana paper la strategy, case study ilikuwa ni ya huyu jamaa tukapewa kitabu chake kina page 329 kila mtu akisome akielewe biashara zake zote anazofanya,na mambo mengi kibao halafu tena kwenye mtihani wenyewe tena unapewa kitabu hicho hicho na maswali matatu tu time only 4hours nimeona kitu virgin nimekumbuka sana huyu jamaa ana makampuni sio chini ya 250 duniani kuanzia phone, internet, nguo za harusi, wine kila taka taka unayoijua hadi ticket za matamasha mbali mbali na kuna makampuni yake toka mwaka 2005 mpka leo kwenye financial statement report zake ni loss, losss ila jamaa anapiga kazi hakuna kufunga ila anajua siri nini ukisoma hicho kitabu utaelewa na unaweza kuondoka na kitu . halafu kwenye hicho kitabu BA na Virgin walishafanyiana mchezo mchafu wa kibiashara na BA aitozwa fine kubwa sana kumlipa virgin, virgin na BA ingawa wote ni kutoka UK ila sio marafiki hata kidogo, kuna mtoa hoja mmoja hapo juu naweza kuunganisha dot nikapata sababu za kwanini BA ameamua kufungasha virago na hata cost zao pia zinachangia BA kukosa abiria wengi. weakness kubwa ya richard branson wachambuzi wanasema siku akiaga dunia tu kuna hatari ya virgin kuyumba maana strength kubwa ya virgin ni brand name na yeye mwenyewe, halafu kitu kingine mr richard branson hataki longo longo akiona mnamzingua hasa kwenye mambo ya rushwa rushwa kamwe anasitisha huduma sehemu husika mwaka 2003 alisitisha huduma zake kwenda nigeria sababu ya mchezo mchafu wa nigeria jamaa akasitisha na sijui kama sasa alishazianzisha tena ila sbabu kuu alikuwa watu wananigeria walitaka awe analipa pesa ndogo serikalini halafu kile cha juu maofisa wagawane jamaa akasema siku ikijulikana mtaniharibia reputation yangu maana nina maadui wengi (BA) wanasubiri tu nikosee wanilipue akasitisha huduma, kitabu chake ni kizuri sana na kinafundisha mengi sana aisee.
 
Kitabu chake kinaitwaje?
 
Niliandika haya kwenye thread nyingine.

Ukiangalia hili suala kwa undani wa kulaumiwa wala siyo BA bali ni serikali ya Uingereza. Pia ukiangalia kwa makini zaidi utaelewa ni kwa nini BA ni expensive zaidi kuliko ndege nyingine. Utaelewa ni kwa nini Swiss Air ni cheaper zaidi hasa kama unakata one way ticket. Possibly, pia utaelewa ni kwa nini BA imeamua kukata safari zake za Dar Es salaam.

Uingereza wana kitu wanaita sky-high Air Passenger Duty tax (ADP). Hii ni kodi inayotozwa kwa ndege zinazosafiri kutoka Uingereza. Madhumuni ya ADP ni kupunguza madhara kwa mazingira, emissions and watu kutosafiri masafa marefu mara kwa mara. Kwa hiyo, the less distance you travel, the less ADP you pay. Kwa kawaida wanaolipa ADP ni wale wanaosafiri kutoka Uingereza lakini siyo wale wanaosafiri kuingia Uingereza au wako on transit kwenda nchini nyingine provided that hawatakaa Uingereza zaidi ya masaa 24.

Mwishoni mwa mwaka jana, BA ilitangaza kupunguza flights zake kwenda visiwa vya Caribbean kwa sababu ya ADP kuwa kubwa mno. BA iliiomba serikali ya Uingereza iondoe this destructive tax juggernaut ambayo ni burden kubwa kwa global aviation.

Matokeo yake BA iliamua kupunguza safari zake za Caribbean na kuongeza safari zaidi za kwenda Florida, a holiday destination ambayo ina 20 per cent lower tax rate kuliko ya visiwa vya Caribbean. Kwa mfano, familia ya watu wanne ikisafiri kwenye economy class kutoka Uingereza kwenda Florida inalipa £240 in ADP wakati familia hiyo hiyo ikisafiri kwenda visiwa vya Caribbean inalipa £300 in ADP.

BA ilisema kuwa hizi rates ni zaidi ya mara mbili ya rates ambazo familia kutoka Ujerumani wangelipa kwenda hizo destinations, wakati familia ikisafiri kutoka Ufaransa wangechajiwa £15 tuu. Halafu hakuna aviation tax kwenye nchi zote 22 za Muungano wa Ulaya.

Sasa hapo mtu lazima atauliza kwani Uigereza ina-charge ADP kubwa zaidi kwenye visiwa vya Caribbean? Sababu ni kwamba, for tax purposes, Uingereza imeweka nchi katika bands kulingana na umbali wa miji mikuu ya nchi hizo kutokea London. Kuna bands A hadi D. Band D ni zaidi ya umbali wa miles 6,000 kutoka London na standard rate ya ADP kwa passenger mmoja kuanzia April 2012 ni £184 kama sijakosea.

Kwa hiyo, pamoja na kuwa miji ya Florida na Hawii iko mbali na Uingereza, Washington DC ipo karibu na miji mingi ya visiwa vya Caribbean, kwa hiyo wasafiri wanakuwa charged less tax. A bit discriminatory, of course.

Nakumbuka boss wa BA alisema kuwa japokuwa Caribbean ni destination muhimu sana kwa BA na kuwa wamekuwa wakipeleka ndege zao huko kwa muda mrefu, hawezi kuukataa ukweli kuwa demand siyo kubwa kama ilivyokuwa zamani. Aliongeza kuwa kodi (ADP) ni mojawapo ya factor iliyotumika kupunguza flights zao kwenda Caribbean kuanzia summer ya mwaka huu (2013).

Kuna kipindi niliskia kuwa WTTC (world travel and tourism council) iliwasiliana na serikali ya Uingereza mwaka jana ikishauri APD iondolewe kabisa kwa sababu inaharibu biashara ya utalii na inaharibu uchumi wa nchi zinazotegemea utalii kama source of income. Mwaka 2009, waziri wa utalii wa Kenya alikosoa APD kwa kuumiza utalii na uchumi wa nchi zinazoendelea na walikuwa wana-lobby WTTC ili kodi hiyo ifutwe: Balala decries travellers' tax - Business_News - nation.co.ke.

Mwaka jana serikali ya Uingereza ilikuwa ina-review its APD levels kwa passenger wanaosafiri kutokea Uingereza baada ya baadhi ya wabunge wa Uingereza kusaini petition kutokana na malalamiko ya wanapiga kura wao.

Uki connect dots hapo, unaweza kupata picha kwa nini BA wameamua kusitisha flights zao za Dar. Demand ni ndogo kutokana na ticketi zao kuwa more expesive kwa sababu ya ADP kuwa kubwa mno. Kibiashara it is not worth it.

Excellent! Thanks a bunch for a very, very informative response.
Baada ya haya maelezo yako mazuri, nashawishika sasa, kuamini kuwa
tunayo sababu ya kuchukua hatua mbalimbali za lobby kupiga vita hii ADP.

Ila swali la nyongeza ambalo natamani sana kupata jibu lake ni msimamo wa BA kuhusu Nairobi na Kampala.
Je, bado wana-fly kutoka cities hizi? Would you happen to know anything about this? If yes or no, why?
 
Welcome. I think wata-fly as usual. Probably, inaonekana Nairobi na Kampala bado inalipa kwao.

Nakumbuka ADP ilipoanza, Kenya waliipinga sana na kufanya lobying. So, BA thought ilikuwa inaungwa mkono.

Lakini kwa Tanzania sikuwahi kusikia serikali ikipinga au fanya lobying against ADP. Inawezekana walifanya, but I am not aware of this.
 
Kama wangekupa visa leo ungechagua ndege ipi kati ya hizi?

British Airways - direct from Dar to Heathow - return tickect - £718

KLM - Dar to Heathrow via Amsterdam - return ticket - £531

watu wanalalamika bila kufanya utafiti,asante sana mkuu

Emirates - Dar to Heathrow via Dubai - return ticket - £476

Suala la kuwa strict kwenye visa sidhani kama limechangia.

Otherwise, utakuwa unasema kuwa Wakenya na Waganda wanapata visa kwa urahisi zaidi kuliko Watanzania.

Pia wapo wanaopewa visa lakini hawatumii BA.

asante mkuu,watu wanalalamika bila kufanya utafiti
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hivi hoja kuu ya British Airways kama kigezo cha kuondoka ni nini? Ni hoja ya kibiashara? au kisiasa... Au Wamenusa tishio la Mujahidin hapa Dar? Why leave now?

Sima uhakika sababu ipi iliyofanya BA waamue kuondoka nchini, ila taarifa nilizozisikia kwa mashirika mengine yaliyoacha kuja Dar ni kuwa gharama zinazotozwa na mamlaka ya viwanja vya ndege vya Tanzania ni kubwa sana, wakati huduma ni mbovu.

Miaka ya nyuma tulikuwa tunasafiri kutokea Dar kwa mashirika kama Sabena (siku hizi Air Belgium), Alitalia, Lufthansa, Swissair (siku hizi Swiss) ambazo zilikuwa zinaenda moja kwa moja Ulaya. Mashirika mengine yalikuwa ya kuzunguka kwenda Ulaya kama Egyptair, Aeroflot, Air India, Pakistan International Airlines (PIA) n.k. Kwenda nchi za Africa kulikuwa na Royal Swazi, Air Madagascar, LAM (Air Mozambique) n.k. Siku hizi mashirika mengi hayaji tena Tanzania, kutokea Ulaya kuna KLM kupitia Kilimanjaro, ambao pia kutokana na mikataba yao na Kenya Airways wamepandisha sana nauli zao za safari ya moja kwa moja, na kulazimisha watu wengi zaidi wapitie Nairobi na kuja Dar kwa Kenya Airways ama Precision.

Kwa wengi wetu ni kero kubwa sana. Inabidi tukubali kupitia Nairobi, ama kupitia Dubai ama Doha ambako kuna nyakati inabidi mtu asubiri hadi masaa manane kabla ya kupata ndege ingine. Tukiuliza wahusika kwa nini kila shirika linakata huduma kuja Dar wanasema 'landing charges' Kilimanjaro na Dar es Salaam ni ghali sana. Kuna wakati walisema wanapotua Nairobi wanalipa $1000, wakati wakitua Dar ama Kilimanjaro wanatakiwa kulipa $4000. Kama madai hayo ni kweli basi tutafika mahali hata hayo mashirikia yanayotua hivi sasa yataamua kuacha kutua Dar. Anayeumia ni msafiri wa kawaida. Pamoja na kuomba tuimarishe ATC, ni muhimu kwa sasa kuziangalia upya hizi gharama tunazojiwekea ambazo badala ya kutujenga zinatubomoa.
 
Jibu hili linaumiza sana kwa kuwa linagusa moja kwa moja uwezo wa nchi yetu kufikiri kibiashara. Umesahau kulitaja SAS (Scandinavian Airline Services), shirika jingine la ndege kutoka Ulaya nalikumbuka sana walinipa huduma nzuri ajabu 1980. Ilikuwa mara yangu ya kuwanza kusafiri katika Jet Plane. Nimesafiri kutoka Dar - Rome(nadhani ilikuwa ile)- hadi Copenhagen, Denmark. Kutoka Dar hadi CopenHagen sijagusa sanduku langu wanalo wao tu. Pale Copenhagen kibabu fulani taxi driver mzungu hataki nishike sanduku langu hadi chumbani kwangu orofa ya tisa kwenye hoteli moja kubwa kama haikuwa Hilton basi hoteli moja kubwa sana pale katikati ya mji. Hakuna SAS hapa sasa...
Sima uhakika sababu ipi iliyofanya BA waamue kuondoka nchini, ila taarifa nilizozisikia kwa mashirika mengine yaliyoacha kuja Dar ni kuwa gharama zinazotozwa na mamlaka ya viwanja vya ndege vya Tanzania ni kubwa sana, wakati huduma ni mbovu.Miaka ya nyuma tulikuwa tunasafiri kutokea Dar kwa mashirika kama Sabena (siku hizi Air Belgium), Alitalia, Lufthansa, Swissair (siku hizi Swiss) ambazo zilikuwa zinaenda moja kwa moja Ulaya. Mashirika mengine yalikuwa ya kuzunguka kwenda Ulaya kama Egyptair, Aeroflot, Air India, Pakistan International Airlines (PIA) n.k. Kwenda nchi za Africa kulikuwa na Royal Swazi, Air Madagascar, LAM (Air Mozambique) n.k. Siku hizi mashirika mengi hayaji tena Tanzania, kutokea Ulaya kuna KLM kupitia Kilimanjaro, ambao pia kutokana na mikataba yao na Kenya Airways wamepandisha sana nauli zao za safari ya moja kwa moja, na kulazimisha watu wengi zaidi wapitie Nairobi na kuja Dar kwa Kenya Airways ama Precision.Kwa wengi wetu ni kero kubwa sana. Inabidi tukubali kupitia Nairobi, ama kupitia Dubai ama Doha ambako kuna nyakati inabidi mtu asubiri hadi masaa manane kabla ya kupata ndege ingine. Tukiuliza wahusika kwa nini kila shirika linakata huduma kuja Dar wanasema 'landing charges' Kilimanjaro na Dar es Salaam ni ghali sana. Kuna wakati walisema wanapotua Nairobi wanalipa $1000, wakati wakitua Dar ama Kilimanjaro wanatakiwa kulipa $4000. Kama madai hayo ni kweli basi tutafika mahali hata hayo mashirikia yanayotua hivi sasa yataamua kuacha kutua Dar. Anayeumia ni msafiri wa kawaida. Pamoja na kuomba tuimarishe ATC, ni muhimu kwa sasa kuziangalia upya hizi gharama tunazojiwekea ambazo badala ya kutujenga zinatubomoa.
 
Back
Top Bottom