bjhjhj
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 207
- 398
Serikali ya Tazania inahimiza vijana kusoma masomo ya sayansi hasa uhandisi alafu sasa wakigraduate wanaacha vipaji vinaishia mtaani. Serikali kupitia secretariet ya ajira inabidi ijitahidi kutoa ajira nyingi kwa wahandisi wenye vigezo kwa kadri inavyoweza ili kupata wahandisi wazawa.