Serikali inaibiwa ifanye hesabu kwa hili dogo tu, Lipi ?

Serikali inaibiwa ifanye hesabu kwa hili dogo tu, Lipi ?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Siku hizi kila anaesafiri kwenda nje lazima alipie dola mia kama sikosei kwa ajili ya kipimo cha covidi ? Tokea ianze balaa hili na Tanzanaia kuitisha agizo hilo la msafiri apimwe ,Taifa limeingiza kiasi gani?

Kwa ufupi kwa wiki wasafiri wangapi wanaosafiri kwenda nje ya nchi kwa kutumia viwanja vya ndege vyetu ?

Kwa Mwezi au hata kwa mwaka ? Hili likifuatwa kuna mtu atafutwa kazi au mnaona hapa hakuna ulaji?

naamini kabisa ni rahisi kupata idadi ya wasafiri wanaotumia viwanja vya ndege kwenda nje ya Nchi kila siku, tunaomba mahesabu dolari ngapi zinakisiwa kukusanywa na zipo wapi ?
 
Back
Top Bottom