Serikali inakadiriaje Kodi kwa Madini yanatogemewa kuuzwa nje..!???

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Napenda kujua Serikali inatumia kanuni gani kukadiria Kodi ya Madini mbalimbali ambayo Mteja katoka nje kaja kununua ndani ya nchi, sasa anataka kulipia Kodi ili aondoke na Madini yakiwa na Documents halali za Serikali....!

1. Je! Serikali inakokotoa Kodi kulingana na bei ya Soko la Dunia, au ina mwongozo wa bei zake yenyewe au kutokana na Bei ambayo Seller na Buyer wamekubaliana??

Asante.
 
Wakuu tunahitaji mwenye uzoefu wake katika hill....
 
Hawatumii bei ya muuzaji na mnunuzi.. Utalipa mrahaba (royalty) + kodi kutokana na makadirio yao ya thamani ya madini husika. Hujasema kama ni metals au gemstones..

Kama upo dar, nenda kwny ofisi yao pale karibu na Muhimbili, opp na Tambaza sekondari, utapata maelezo kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…