Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Napenda kujua Serikali inatumia kanuni gani kukadiria Kodi ya Madini mbalimbali ambayo Mteja katoka nje kaja kununua ndani ya nchi, sasa anataka kulipia Kodi ili aondoke na Madini yakiwa na Documents halali za Serikali....!
1. Je! Serikali inakokotoa Kodi kulingana na bei ya Soko la Dunia, au ina mwongozo wa bei zake yenyewe au kutokana na Bei ambayo Seller na Buyer wamekubaliana??
Asante.
1. Je! Serikali inakokotoa Kodi kulingana na bei ya Soko la Dunia, au ina mwongozo wa bei zake yenyewe au kutokana na Bei ambayo Seller na Buyer wamekubaliana??
Asante.