Wajinga ni sisi raia tunaishi kwa hisani ya RaisKuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu.
Sio sawa kwa nchi inayofuata utawala wa Sheria kukalia kimya masuala ya uhai na usalama wa raia wake.
Tukumbuke katika utawala wa Jiwe kulianza mambo kama haya kiutani utani lakini iligharimu kabisa sifa ya nchi yetu.
Ni wakati sasa Mamlaka za juu akiwemo Rais atoke na kukemea haya mambo
Duh. Hebu uwe unajisemea mwenyewe na huo ujinga wako aisee.Wajinga ni sisi raia tunaishi kwa hisani ya Rais
...or a serial killer/s on the loose. Perhaps.Tafsiri ya mtu katika nchi hii ni mwanasiasa na mwandishi wa habari.
Hao wanaotekwa na kuuwawa si wanasiasa wala waandishi wa habari, that's why watu wanatake easy tu kwakuwa wanaotekwa na kuuwawa ni raia wa kawaida tu.
Ila ingekuwa ni wanasiasa au waandishi ungeona hata kituo Cha haki za binadamu kingeitisha press.
Kuanzia mumeo naye tupo kwenye group moja tunaishi kwa hisani ya Rais badala ya sheria, kanuni na taratibuDuh. Hebu uwe unajisemea mwenyewe na huo ujinga wako aisee.
Naona.Kuanzia mumeo naye tupo kwenye group moja tunaishi kwa hisani ya Rais badala ya sheria, kanuni na taratibu
Naomba umfikishie na bwasheeNaona.
Ni sawa tu, bakieni na ujinga wenu mtuwaachie sie Watanzania na Tanganyika na Zanzibar yetu.
Mkajiteke.