Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
kwa hiyo imeamua kutumia mbinu hii kuzima upepo wa Bashite na Nape?
Haha, most likely.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo imeamua kutumia mbinu hii kuzima upepo wa Bashite na Nape?
Habari njema ni kwamba serikali imefikia uamuzi wa kuanza kulipa malimbikizo na nyongeza zote kwa watumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kupandisha vyeo.
Maazimio haya yanategemewa kuanza mwaka wa fedha 2017/2018
Serikali imeazimia kumaliza madeni yote ilikuondoa ktk lawama na shutuma ambazo imekuwa ikishutumi.
Sambamba na hilo kuna maazimio kadhaa yamepitishwa kuwapa rehema wale waliofukuzwa kazi kwa makosa mbali mbali likiwemo la kugushi kupewa mafao yao.
Hbr kamili kuwajia hivi punde stay tuned.
kwa hiyo imeamua kutumia mbinu hii kuzima upepo wa Bashite na Nape?
ianze kuwalipa wazee wa jumuia ya africa masharik kwanza km kweli wana nia ya kulipa madeniHabari njema ni kwamba serikali imefikia uamuzi wa kuanza kulipa malimbikizo na nyongeza zote kwa watumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kupandisha vyeo.
Maazimio haya yanategemewa kuanza mwaka wa fedha 2017/2018
Serikali imeazimia kumaliza madeni yote ilikuondoa ktk lawama na shutuma ambazo imekuwa ikishutumi.
Sambamba na hilo kuna maazimio kadhaa yamepitishwa kuwapa rehema wale waliofukuzwa kazi kwa makosa mbali mbali likiwemo la kugushi kupewa mafao yao.
Hbr kamili kuwajia hivi punde stay tuned.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hii stairi ya kusema habari punde yaja zijui nani kawafunza mana ni nyuzi nyingi zimeachwa maneno kama haya ,kama habar haijakamilika baki nayo huko
Exactly, hiki ndiyo kinachoendelea. Bajeti za 17/18 hazina nyongeza ya mishahara wala annual increment.Habari ya uhakika kabisa ni kuwa rais ameagiza promotion zote zisiwepo na hata waliopanga bajeti ya 17/18 wamenithibitishia