Tetesi: Serikali inakusudia kuanza kulipa malimbikizo ya nyongeza kwa watumishi wake

Siyo madeni hewa tena!

 
Habari ya uhakika kabisa ni kuwa rais ameagiza promotion zote zisiwepo na hata waliopanga bajeti ya 17/18 wamenithibitishia
 
Labda wanasubiri karibu na uchaguzi ili iwe km campen yao
 
ianze kuwalipa wazee wa jumuia ya africa masharik kwanza km kweli wana nia ya kulipa madeni
 
Stay tuned kwenye huu uzi ama wapi!!!

maana hakuna source ya tetesi yako
 
Hii stairi ya kusema habari punde yaja zijui nani kawafunza mana ni nyuzi nyingi zimeachwa maneno kama haya ,kama habar haijakamilika baki nayo huko
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Najiuliza kama viroba vimepigwa marufuku kutumika sasa uyu mleta uzi atakuwa amekunywa nin mpaka kuleta mada ya uchochez namna hii? ? Au amepiga kitu cha arusha?
 
Hatuna Shida na Mishahara ya magufuli na serikali yake ya mfalme juha
 
Mbona hamtaki kuamini wakuu? Kama ni hivyo njoo kwenye ajira binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…