Baridijr
Member
- May 27, 2009
- 36
- 0
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada wenu kidogo, wakati nipo mdogo kule kijijini niliwahi kusikia kuwa serikali hairogeki nikakubaliana nao, lakini jinsi hali ilivyo hapa tz naanza kuamini kuwa kuna watu wameiloga serikali hadi haielewi majukumu yake kwa raia, kwa sababu mfano rahisi niliwahi kuhuzuria kikao kimoja wakati wa kampeni jk alitoa ahadi nyingi ambazo kwa mtu yoyote ni rahisi kutekeleza lkn hakuna kilichofanyika hadi leo zaidi ya kuongeza migogoro makazini na kupoteza ule umoja wa kibabe aliotupa mkapa, sasa hapo ndio ninapo uliza wana JF hii serikali haijarogwa