SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Udaku huo seriali ya tanzania inapeleka watanzania kadhaa kutibiwa nje kwa gharama ya serikali kama wewe hujui kalaga baho. ni vizuri kujua mambo yanavyoenda nchini kwako badala ya kukurupuka na kuandika maneno ya kipuuzi .kama u mbgonjwa pata taarifa ya daktari.andika barua wizara ya afya kisha wanakuorodhesha na kufikiriwa.kama utatoa tangazo kwenye gazeti wizara haifanyi cuttings za kutafuta wagonjwa wa kupeleka kutibiwa nje.hata hivyo sheikh mkuu au mufti ni kiongozi wa walipa kodi mamiliono kwa nini asitibiwe na serikali kama kiongozi wa dini