.... sitoshangaa kama kodi za wananchi zinatumika kumlipia matibabu kule India.
Hii siyo fitna lakini kama kuna ukweli kwenye hili then tunalo la kujadili....
Hivi unajua waislam wangapi wanaikubali BAKWATA?
Hivi unajua kama waislam wanajua kama BAKWATA ni BRAZA KUU LA KUWAKANDAMIZA WAISLAM TANZANIA?
Hebu nitajie mazuri 10 waliyofanya BAKWATA tangu iundwe
Shekhe mkuu ni mvuta sigara mkubwa na alikuwa anajua madhara ya sigara sasa he is just reaping what he sow
Nakuomba uache kutwist mambo hapa, kuicriticise BAKWATA haimaanishi kuwa waislam wa Tanzania ndio wanaokuwa criticized