Serikali inaogopa nini kuwachukulia hatua watu wanaoleta uchochezi?

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Uchochezi umekuwa mwingi mno na serikali imekua kimya hii ni hatari Kwa usalama na ustawi wa taifa.

Kila siku Marais waliokufa wanatukanwa na hakuna mtu wa kuwatetea.

Kuna watu wanasema Hayati Magufuli alikutwa na Bil. 100 lakini hakuna ushahidi uliotolewa kuthibisha madai.

Watu kutoa lugha za kuudhi Kwa Rais Samia.

Baadhi kuanza hoja za ukabila na ukanda km sio ubara na uzanzibar, pitia teuzi ya afisa mmoja Toka Zanzibar na kauli zilozotoka za kibaguzi.

Baadhi kutukana viongozi wa dini

Serikali inaogopa niji kuwafungulia majalada ya uchochezi? mnaogopa nn? Hii ikiachwa ni hatari.
 
Screenshots_2023-08-06-08-11-08.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uchochezi umekuwa mwingi mno na serikali imekua kimya hii ni hatari Kwa usalama na ustawi wa taifa.

Kila siku Marais waliokufa wanatukanwa na hakuna mtu wa kuwatetea.

Kuna watu wanasema Rais Magufuli alikutwa na bil. 100 lakin hakuna ushahidi uliotolewa kuthibisha madai

watu kutoa lugha za kuudhi Kwa Rais Samia.

baadhi kuanza hoja za ukabila na ukanda km sio ubara na uzanzibar, pitia teuzi ya afisa mmoja Toka Zanzibar na kauli zilozotoka za kibaguzi.

baadhi kutukana viongozi wa dini

Serikali inaogopa Nini kuwafungulia majalada ya uchochezi? mnaogopa nn? Hii ikiachwa ni hatari
Legacy imeguswa 😂😂
 
Kafungue kesi kuwatetea
20230806_083240.jpg
 
Uchochezi umekuwa mwingi mno na serikali imekua kimya hii ni hatari Kwa usalama na ustawi wa taifa.

Kila siku Marais waliokufa wanatukanwa na hakuna mtu wa kuwatetea.

Kuna watu wanasema Hayati Magufuli alikutwa na Bil. 100 lakini hakuna ushahidi uliotolewa kuthibisha madai.

Watu kutoa lugha za kuudhi Kwa Rais Samia.

Baadhi kuanza hoja za ukabila na ukanda km sio ubara na uzanzibar, pitia teuzi ya afisa mmoja Toka Zanzibar na kauli zilozotoka za kibaguzi.

Baadhi kutukana viongozi wa dini

Serikali inaogopa niji kuwafungulia majalada ya uchochezi? mnaogopa nn? Hii ikiachwa ni hatari.
Naona umefufuka baada ya kufa na magufuli. Bado nadhani umfuate huku aliko muoane maana unakera. Sedition iko wapi ktik hotuba za chadema? Unajua maana ya sedition?
 
Back
Top Bottom