Serikali inaogopa nini kuwachukulia hatua watu wanaoleta uchochezi?

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Uchochezi umekuwa mwingi mno na serikali imekua kimya hii ni hatari Kwa usalama na ustawi wa taifa.

Kila siku Marais waliokufa wanatukanwa na hakuna mtu wa kuwatetea.

Kuna watu wanasema Hayati Magufuli alikutwa na Bil. 100 lakini hakuna ushahidi uliotolewa kuthibisha madai.

Watu kutoa lugha za kuudhi Kwa Rais Samia.

Baadhi kuanza hoja za ukabila na ukanda km sio ubara na uzanzibar, pitia teuzi ya afisa mmoja Toka Zanzibar na kauli zilozotoka za kibaguzi.

Baadhi kutukana viongozi wa dini

Serikali inaogopa niji kuwafungulia majalada ya uchochezi? mnaogopa nn? Hii ikiachwa ni hatari.
 
Legacy imeguswa 😂😂
 
Kafungue kesi kuwatetea
 
Naona umefufuka baada ya kufa na magufuli. Bado nadhani umfuate huku aliko muoane maana unakera. Sedition iko wapi ktik hotuba za chadema? Unajua maana ya sedition?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…