PostGE2025 Serikali inapambana kupita KIASI kurudisha nchi kwenye ukawaida

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Ni kama mambo mengine yote yamesimama

Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi.

Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali gani?
 
Ni kama mambo mengine yote yamesimama

Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi
Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali gani?
Ingekuwa hivyo tungejenga madaraja ya kutuvusha na sii kuyabomoa kwa kasi kiwango hiki tunachokishuhudia!
 
Nchi haitarudi kwa ukawaida tena, hilo wasahau.
Ni kweli kabisa na wamelitengeneza wao niliona juzi wakati RC chalamila atalitangazia taifa kuwa kesho raisi atahutubia kuliponya taifa samuya kaja kubomoa upya kwamba yeye ndiye katoa amri ya kuua watoto na mlitaka afanyaje wakati huo huo bado wameng'ang'ania maiti za watu kama zao
 
Chalamila nimeona nafsi yake kuna mda inamuuma,nazani hata viongozi wengine pia.
Hapa alimvua nguo chalamila
 
Kwanini mtumie gharama kubwa kurejesha ukawaida ilihali mambo ya kufanya mnayajua...

1.Katiba mpya ambayo rasimu yake ipo tayari
2.Kurejesha wote mliowateka na wote waliopewa kesi za kisiasa
3.Kufumua na kujenga upya mifumo yote ya vyombo vya dola pamoja na utaratibu mpya wa kuajiri kwenye nyadhifa nyeti pote serikalini...

Vina gharama gani?
 
gharama ni kiburi
 
Nchi haitarudi kwa ukawaida , hilo wasahau.
Tatizo hata hao wanao tukopesha na wao wanazo interest zao pia wananufaika nazo hapa kwetu.
Hili sio tatizo.
 
Nchi haitarudi kwa ukawaida , hilo wasahau.

Hili sio tatizo.
Wengine wanapanga namna ya kupata drone walipue Bunge na watu ndani yale ili waanze upya, ukiwasikia watu huku mitaani vifua vyao havitapona hadi ccm iangushwe kabisa.
 
Back
Top Bottom