Ingekuwa hivyo tungejenga madaraja ya kutuvusha na sii kuyabomoa kwa kasi kiwango hiki tunachokishuhudia!Ni kama mambo mengine yote yamesimama
Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi
Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali gani?
Ni kweli kabisa na wamelitengeneza wao niliona juzi wakati RC chalamila atalitangazia taifa kuwa kesho raisi atahutubia kuliponya taifa samuya kaja kubomoa upya kwamba yeye ndiye katoa amri ya kuua watoto na mlitaka afanyaje wakati huo huo bado wameng'ang'ania maiti za watu kama zaoNchi haitarudi kwa ukawaida tena, hilo wasahau.
Paralysed stateNi kama mambo mengine yote yamesimama
Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi.
Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali gani?
Chalamila nimeona nafsi yake kuna mda inamuuma,nazani hata viongozi wengine pia.Ni kweli kabisa na wamelitengeneza wao niliona juzi wakati RC chalamila atalitangazia taifa kuwa kesho raisi atahutubia kuliponya taifa samuya kaja kubomoa upya kwamba yeye ndiye katoa amri ya kuua watoto na mlitaka afanyaje wakati huo huo bado wameng'ang'ania maiti za watu kama zao
gharama ni kiburiKwanini mtumie gharama kubwa kurejesha ukawaida ilihali mambo ya kufanya mnayajua...
1.Katiba mpya ambayo rasimu yake ipo tayari
2.Kurejesha wote mliowateka na wote waliopewa kesi za kisiasa
3.Kufumua na kujenga upya mifumo yote ya vyombo vya dola pamoja na utaratibu mpya wa kuajiri kwenye nyadhifa nyeti pote serikalini...
Vina gharama gani?
Hili sio tatizo.Tatizo hata hao wanao tukopesha na wao wanazo interest zao pia wananufaika nazo hapa kwetu.
Wengine wanapanga namna ya kupata drone walipue Bunge na watu ndani yale ili waanze upya, ukiwasikia watu huku mitaani vifua vyao havitapona hadi ccm iangushwe kabisa.Nchi haitarudi kwa ukawaida , hilo wasahau.
Hili sio tatizo.
Bahati nzuri huwa HAWAJITEMBEZI kutafuta WAKOPAJI.Tatizo hata hao wanao tukopesha na wao wanazo interest zao pia wananufaika nazo hapa kwetu.