Serikali inapaswa kuwaajiri moja kwa moja wafanyakazi wa mkataba ndani ya Halmashauri zetu

KAUCHEZEA

Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
29
Reaction score
15
Waziri wetu wa Tamisemi, kweli kuna tatizo la ajira sana nchini kwetu.Hivyo kupelekea vijana wengi kukosa ajira na kuingia kwenye shughuli ambazo sio rasmi kwao.

Tunaimani sana na Serikali yetu sikivu. Zipo taasisi nyingi au Kada nyingi za Serikali hazina rasilimali watu hasa Halmashauri zetu.

Mfano wapo watumishi nusu sio kamili ambao wanafanya kazi kwa uadilifu na juhudi wakitegemea watapata ajira na kuwa watumishi kamili, huu ndo wakati wao sasa wa kujivunia kwa Serikali yao baada ya kukosa ajira kamili.

Halmashauri zetu zimetoa ajira lkn kwa mkataba ambapo wafanyakazi wengi wanafanya kazi hizo lkn wanakosa baadhi ya fursa mfno NSSF,Bima na Financial support kutoka ktk mabenk Hivyo upelekea kukosa kutimiza ndoto zao.

Waziri wetu ni wakati sasa wa kumwomba Rais na mama yetu kibari cha kuajiri vijana wetu ndani ya Halmashauri zetu mfano Wakusanya mapato,wafanya usafi,maengineer,walinzi,wahasibu n.k.

Waziri wetu Fanya hivyo ili kuziimarisha Halmashauri zetu lkn pia kuwakomboa vijana ktk dimbwi la Umaskini na Mawazo.

Naamini utaacha kumbukumbu kubwa ktk jamii ya watanzania hasa Vijana.

Jamhuri ya Muungano wa Tz, kazi iendelee.
 
Kuna nchi duniani inayo-practice idea zako? Zitaje nchi zisizopungua 20 ili mawazo yako yafanyiwe kazi.

Kabla ya mtu ku-deliver mkataba unaisha ha-renew mwingine!!! Si itakuwa vurugu mechi tupu??

Serikalini kuna "principles" na "Guidelines" zinazoongoza utendaji sio kirahisi rahisi kama unavyodhani.

Mawazo yako ni mazuri ingawa yana ukakasi kuya-implement/ kuyatekeleza.

Kufanya kazi Serikalini ni tofauti na Private Sectors.
 
Back
Top Bottom