Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Mara tu baada ya uhuru, serikali ya Tanganyika ikafanya mapitio juu ya mishahara ya watumishi. Ikaja na uamuzi kuwa kima cha chini cha mshahara kitakuwa Tsh 150 kwa wakazi wa Dar na Tanga. 125 kwa wakazi wa miji kama Mwanza, Moro, Arusha, Dodoma, Iringa, Mtwara, Mbeya nk. Kwa miji midogo na vijijini kima cha chini Tsh 100.
Bila shaka walifanya hivi kwa kuzingatia gharama za maisha. Je na sasa serikali inafaa ipange mishahara kwa kuangalia hili?
Bila shaka walifanya hivi kwa kuzingatia gharama za maisha. Je na sasa serikali inafaa ipange mishahara kwa kuangalia hili?