Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Wanajamvi
Kuna jambo lisilofaa kuhusu ruzuku ya mbolea za tumbaku kwa msimu ulioisha.
Serikali kupitia tangazo la TFRA la tarehe 29/12/2023 ilitoa mwongozo wa bei kwa mbolea za msimu huu kuwa ni chini ya 80,500 kwa mfuko.
Wakulima wa tumbaku hata hivyo wakakatwa dola 63 kwa mfuko bei inayoruka kabisa bei kikomo kama nilivyoeleza hapo juu.
Waziri mwenye dhamana Mh. Hussein Bashe akatangaza kuwa serikali itawarejeshea wakulima fedha hizo ila hadi sasa hakuna uwazi kuwa ni shilingi ngapi inamrudia mkulima.
Je, wamepanga kurudisha kiasi gani? Wanarudisha lini? Au ndo mpaka December?
Kama fedha tayari iko kwa Waziri awarudishie wakulima.”, mbona kimya kimetawala?
Mapema sana mheshimiwa Waziri ahakikishe fedha zinawafikia wakulima ili kutoichafua sura ya Rais kwa kuonekana wababaishaji