NoMatterWhat
Member
- Nov 4, 2020
- 26
- 25
wapi umeona nimesema nimesoma ulaya? au unaropoka sababu una jina feki hapa jfUmesomea ulaya ahaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi umeona nimesema nimesoma ulaya? au unaropoka sababu una jina feki hapa jfUmesomea ulaya ahaaaaa
sasa si mpaka ujiunge,maana kuna mamilioni ya watu bado hata hawajui VPN ni mnyama gani. na andhani pia wengi tuko kwenye hizo trialsKama unajidanganya wanapata hasara bas tambua huwez jiunga hyo vpn yako bila kua na bando la internet... So hakijaaribika kitu
Wanajistukia,wanajua kuwa hawapo kwa ridhaa ya wananchi na hawajali kuhusu uchumi wa nchi bali madaraka yao tuNi wizi wa kishamba wanaufanya
Inaonyesha huko ccm na serikalini kuna watu wengi hawana akili au wana akili za kizamani
Unapoficha hivi uhuru wa habari au kujieleza unatuma picha kwa watu kwamba wewe ni mwizi
Lama wameshinda kwa halali wanaogopa nini?
unaiba mchana kweupe ukionekana ndicho wanachokifanya
Wangeiba na kutulia tu wala hakuna mtu angeshtuka ila hii kuzimazima mtandao ni ishara ya wazi hawajiamini na matendo yao
Unataka watekwe?Sijaona kamapuni za simu zikilalamika kuhusu jambo hili, hii inamaana hawajaathirika kabisa na ufungwaji wa mitandao.
Uko serious mkuu!!!?? Unaanzia wapi kulalamika ungekua ni wewe. Ukikanyagwa hutakiwa kupiga kelele, unatabasamu na aliyekukanyaga akigundua akakuuliza unaumia, unamjibu hapana.Sijaona kamapuni za simu zikilalamika kuhusu jambo hili, hii inamaana hawajaathirika kabisa na ufungwaji wa mitandao.
Nimecheka kwa sauti. Eti kampuni hazijasema hili unataka rungu la TCRA liikute hiyo kampuni itakayo jichanganya eti.Sijaona kamapuni za simu zikilalamika kuhusu jambo hili, hii inamaana hawajaathirika kabisa na ufungwaji wa mitandao.
Sababu nimeona ni mweupe kichwani ndio maana nimesema hivyo. We jina langu linakuhusu nini? Hili ndio jina langu original tena nashaauri JF waanze kusajiri memba kwa kutumia vitambulisho vya Nida.wapi umeona nimesema nimesoma ulaya? au unaropoka sababu una jina feki hapa jf