kwasababu wanatoa hahadi alafu hawatekelezi,mfano kujenga nyumba za walimu ambazo ndiyo ni sababu ya waliomaliza chuo na hawaendi kufundisha ukiwauliza hakuna maitaji,mfano mwingine vifaa vya wanafunzi mashuleni vtabu,madawati na hata chaki za kufundishia pamoja na mzingira na majengo.
Ni baadhi ya nyumba za walimu wa serikali yetu ya leo,ambao ndio waoweza kuinua taifa letu la kesho,je watazidi kuongezeka?
wanafunzi wakiwa darasani wakisubiri kufundishwa,je tutaweza kuwaboresha katika kuleta maendeleo ya taifa la kesho?hawa ndio ni taifa la kesho.