serikali inarudisha maendeleo ya elimu nyuma

serikali inarudisha maendeleo ya elimu nyuma

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
kwasababu wanatoa hahadi alafu hawatekelezi,mfano kujenga nyumba za walimu ambazo ndiyo ni sababu ya waliomaliza chuo na hawaendi kufundisha ukiwauliza hakuna maitaji,mfano mwingine vifaa vya wanafunzi mashuleni vtabu,madawati na hata chaki za kufundishia pamoja na mzingira na majengo.
 
nyumba.jpg
Ni baadhi ya nyumba za walimu wa serikali yetu ya leo,ambao ndio waoweza kuinua taifa letu la kesho,je watazidi kuongezeka?
darasa.JPG
wanafunzi wakiwa darasani wakisubiri kufundishwa,je tutaweza kuwaboresha katika kuleta maendeleo ya taifa la kesho?hawa ndio ni taifa la kesho.
 
inauma sana mkubwa haingii akilini kabisa kuwa serikali haiwezi kuwapatia wanafunzi madawati na vifaa vingine kumbuka nchi hii co maskini hiyo dhana2 wanufaika wachache2 da manjority wanataabika esp shule za vijijini balaa 2pu
 
hapo hapo bdo walivowapumbaaaaf wabunge wetu wanasimama ndani ya bunge na kutaka kuongezewa mishahara.............huh
 
Back
Top Bottom