Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

dorge

Senior Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
118
Reaction score
186
Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno.

Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5?

Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo.

Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
 
Temeke zipo

1. Mivinjeni primary school
2. Changombe primary school

Ilala pia zipo

1.Mikongeni primary school
2.bunge
3.olimpio
4.diamond
 
Temeke zipo

1. Mivinjeni primary school
2. Changombe primary school

Ilala pia zipo

1.Mikongeni primary school
2.bunge
3.olimpio
4.diamond
Tabata ni ilala au ni nchi nyingine. Mtoto atokee segerea? Ubungo no kidding
 
Sijaelewaaa....kila mtu apambane na mechi zake
 
Tabata ni ilala au ni nchi nyingine. Mtoto atokee segerea? Ubungo no kidding

ndio tabata ni wilaya ya ilala.

hata Ubungo pia zipo.

1. Mlimani udsm primary school
2.Ubungo NHC primary school
3. Reginald Mengi Primary school
 
Temeke zipo

1. Mivinjeni primary school
2. Changombe primary school

Ilala pia zipo

1.Mikongeni primary school
2.bunge
3.olimpio
4.diamond
Hakika, Tena hiyo Mikongeni ipo mpakani mwa Kata ya Gongolamboto na Pugu Station ndani ya Wilaya ya Ilala, yaani ni pembeni ya Mji ili walio ukanda huo wanufaike pia.
 
Back
Top Bottom