JOSE KASANO
Senior Member
- Apr 23, 2013
- 122
- 95
Mtaniwia radhi ikiwa itaonekana matusi, RAIS KIKWETE NCHI IMEMSHINDA.Yaani kila kitu kinakwenda ndivyo sivyo.Watu aliowapa madaraka hawaoneshi kama wanajiweza kusimamia kazi walizopewa na kuleta maendeleo ya Taifa letu.Watu wanafanya kwa namna wanavyojua wao.Waziri wa elimu mh.Kawambwa na naibu wake Mulugo ni watu ambao wameonekana wazi kwamba ni wababaishaji tu lakini Rais hasikilizi kilio cha wananchi ila analilia nafasi zao hawa jamaa.
Watu wanaoongoza wizara nyeti, wizara mama ambayo hutegemewa na wizra zingine kupata watalaam, leo inasimamiwa na viongozi wasio na weledi na wizara hii.Mulugo alikwishatuaibisha kimataifa na kuuonesha ulimwengu kuwa yeye si chochote wala lolote..
Matokeo ya kidato cha 4 ya 2012 yaliyofutwa na serikali na kuazimia kuwa yatatangazwa upya hadi sasa yako wapi? Ni kitu gani hasaa kinaendelea huko NECTA? Kila siku tunapata habari za kughushi kuhusiana na KinCHOJIRI necta.Jamani Rais Kikwete tunakupa ushuri wa bure waondoe wakina kawambwa na wenzake maana wanaleta UVULIVULI machoni mwa Watanzania, hawafai kuendelea kuongoza, wametuaharibia elimu na wataendelea kuharibu, ikiwezekana wewe mwenyewe iongoze hii wizara kutokana na pendekezo la Mh.Zitto Kabwe.
Serikali kwa kiasi kikubwa ipo inashighulika na uchakachuaji wa matokeo ya kidato cha 4 2012 na kidato cha 6 badala ya kujikita na hawa wanafunzi wanaoendelea maana na wao hali itakuwa ileile ama azidi ya 2012.Hatuombi iwe hivyo lakini kutokana na uwekezaji unaowekwa na serikali kwenye elimu tusitarajie mambo makubwa wakati tunawekeza kidogo.