serikali inasubiri kutangaza matokeo mapya ya 2012 kidato cha nne na sita kwa pamoja na ya 2013?

JOSE KASANO

Senior Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
122
Reaction score
95
Mtaniwia radhi ikiwa itaonekana matusi, RAIS KIKWETE NCHI IMEMSHINDA.Yaani kila kitu kinakwenda ndivyo sivyo.Watu aliowapa madaraka hawaoneshi kama wanajiweza kusimamia kazi walizopewa na kuleta maendeleo ya Taifa letu.Watu wanafanya kwa namna wanavyojua wao.Waziri wa elimu mh.Kawambwa na naibu wake Mulugo ni watu ambao wameonekana wazi kwamba ni wababaishaji tu lakini Rais hasikilizi kilio cha wananchi ila analilia nafasi zao hawa jamaa.

Watu wanaoongoza wizara nyeti, wizara mama ambayo hutegemewa na wizra zingine kupata watalaam, leo inasimamiwa na viongozi wasio na weledi na wizara hii.Mulugo alikwishatuaibisha kimataifa na kuuonesha ulimwengu kuwa yeye si chochote wala lolote..

Matokeo ya kidato cha 4 ya 2012 yaliyofutwa na serikali na kuazimia kuwa yatatangazwa upya hadi sasa yako wapi? Ni kitu gani hasaa kinaendelea huko NECTA? Kila siku tunapata habari za kughushi kuhusiana na KinCHOJIRI necta.Jamani Rais Kikwete tunakupa ushuri wa bure waondoe wakina kawambwa na wenzake maana wanaleta UVULIVULI machoni mwa Watanzania, hawafai kuendelea kuongoza, wametuaharibia elimu na wataendelea kuharibu, ikiwezekana wewe mwenyewe iongoze hii wizara kutokana na pendekezo la Mh.Zitto Kabwe.

Serikali kwa kiasi kikubwa ipo inashighulika na uchakachuaji wa matokeo ya kidato cha 4 2012 na kidato cha 6 badala ya kujikita na hawa wanafunzi wanaoendelea maana na wao hali itakuwa ileile ama azidi ya 2012.Hatuombi iwe hivyo lakini kutokana na uwekezaji unaowekwa na serikali kwenye elimu tusitarajie mambo makubwa wakati tunawekeza kidogo.
 
umeongea ukweli hayo maneno ya blue hayakupaswa kuwepo
 
Wale mawaziri ni wa aina yao sijui ni kwanini rais anashindwa kuwajibisha unajua Kikwete ni kiongozi mzuri sana ila tatizo washauri wake wanamshauri vibaya na hapimi ushauri wao na rahisi wa kudanganyika sana ningelikuwa mimi wasingelikuwa maofsini.
 
Haujatukana bali umeongea ukweli mtupu hivi sasa tunaelekea mwezi june hakuna matokeo ya kidato cha nne na sita,hawajui kama kuna vyuo ambavyo vitaanza mihula yake hivi karibuni,wanaotarajia kuingia kidato cha tano wanazid kupoteza mda mtaani,tcu na heslb deadline ya maombi inaelekea ukingon bila taarifa yeyote hawa hawa wizara ya elimu wameweka tangazo la scolaship za cuba wakidai mwisho wa maombi ni mei 25 na hakuna matokeo cjui huwa hawafikirii yote haya Aaaaagrrrr!!!
 
Back
Top Bottom