Imtangazie kwamba ni janga na atangaziwe hali ya hatari.Ni kama hajiongezi.Umesema serikali ifanyeje?
Wanapumulia mashine 🤣
Watashindwa kwenda kwenye vibanda vya chipsi.Waonee huruma.
Kweli watu wamenusurika huko? Au kuna waliopoteza maisha na mali zao?Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa.
Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza kutoka kwenda kwenye shughuli zao.
View attachment 2811374
View attachment 2811376
View attachment 2811377
View attachment 2811379
Bodaboda zao wapoWatashindwa kwenda kwenye vibanda vya chipsi.Waonee huruma.
mliambiwa mkashupaza shingodar es salaam ni eneo zuri wakati wa jua lakini wakati wa mvua ni keroooooooo na CCM wapi busy miswaada ya kihuni
Umesema serikali ifanyeje?
Hatari sana.Bodaboda zao wapo
Waanze leo? Mbona huwa wanaambiwa hayo yote na utabiri wa hali ya hewa walipewa mapema sana.Ubishi na dharau ndiyo faida yake hiyo.Itoe tahadhari mapema watu waondoke hayo maoneo.
Kikinge ni kusimamia sheria hakuna ujenzi holela kwenye njia, mikondo ya maji na kujenga miundombinu sahihi.