Serikali inasubiri nini kutangaza hali ya hatari kwa haya mafuriko ya Dar?

Serikali inasubiri nini kutangaza hali ya hatari kwa haya mafuriko ya Dar?

Mbona taarifa ilitoka mkuu
Screenshot_20231112_124617_WhatsApp.jpg
 
dar es salaam ni eneo zuri wakati wa jua lakini wakati wa mvua ni keroooooooo na CCM wapi busy miswaada ya kihuni
Pakiwa na mvua usiombe ,kuna siku tulikuwa na gari ya ofisi tunaelekea home ilikuwa kama mwaka 2020 miezi kama hii ya mwishoni.

Tulikaa kweny foleni karibu na jangwani karibia masaa 4 kama ingekuwa ni hiace tungeacha na kushuka ila gari ya ofisi 😅😅...Jamaa anakaa Mbezi alifika kwake saa 8 usiku .
 
TMA walitoa tahadhari zote, tunashupaza sana shingo ndio maana yanatukuta.
 
Back
Top Bottom