Pakiwa na mvua usiombe ,kuna siku tulikuwa na gari ya ofisi tunaelekea home ilikuwa kama mwaka 2020 miezi kama hii ya mwishoni.
Tulikaa kweny foleni karibu na jangwani karibia masaa 4 kama ingekuwa ni hiace tungeacha na kushuka ila gari ya ofisi π π ...Jamaa anakaa Mbezi alifika kwake saa 8 usiku .
Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa.
Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza kutoka kwenda kwenye shughuli zao.