Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa
Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na kuwasaidia watu
=====================
Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini litakalosimamia muundo utakaoratibu sekta mbalimbali za kitaaluma na kiutendaji ili kushughulikia ufanisi wa suala la afya ya akili.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tarehe 31 Oktoba, 2024 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyetaka kujua tamko la serikali kuhusu kuanzisha Baraza hilo baada ya kukithiri matukio yasiyo ya kawaida yanayochangiwa na tatizo la afya ya akili ikiwemo wizi, mauaji na mapenzi ya jinsia moja.
Soma Pia: Serikali mbioni kuanzisha Shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili ili kupunguza makali ya gharama za kibobezi kwa waathirika